Uchaguzi 2020 US Ambassador to Tanzania: I am concerned, if election officials do not take necessary steps, country's democracy will lose credibility

Mama D huo ushindi kwani hauwezi kupatikani kwa HAKI mpaka figusi???
Wenye figisu ni hao wanaosambaza habari za chuki na kuchochea hofu mkuu
Tume inafanya kazi zake kwa weledi mkubwa na inasikiliza wananchi na kutatua matatizo kila mara
 
Hawa jamaa ni noma! Kumbe wana taarifa zote mpaka za wakati huu mawakala wetu wanavyosumbuliwa na kunyanyaswa.
Mimi kama mtanzania mpenda haki naunganga na Marekani katika kudai uchaguzi ulio huru na wa haki!

Huu uhuni wote mzee wa visasi ndie muasisi nyuma hayakuwepo haya,wamweke kwenye listi ya magaidi akanyee debe afai kukaa na Jamii ya watu waliostaarabika
 
Habari hii ni mwiba mchungu kwa mkoloni mweusi, chakupimbi, bashiri, chama fulani wakiwamo mataga na buku 7 wote.

Hivi kwa nini madhalimu nyie neno haki hatakulitamka tu hamuwezi?
 
Tunaelekea huko huko
 
Huyu dikteta ametuharibia nchi san
 
Mbona sasa ajaeleza na ushahidi huo wasi wasi wake, huyu mzungu anaanza majungu mapema sana.
Hii habari si nzuri sana kwa sisi tuliozoea kuteka wagombea wakati wanarudisha form, mawakala kuwafungia nje ya kituo siku ya uchaguzi na kukimbia na mabox kagiza giza kakiingia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…