Hangaika na barabara ya Benaco weweMwulize jiwe kama si kisebu sebu na kiroho papo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hangaika na barabara ya Benaco weweMwulize jiwe kama si kisebu sebu na kiroho papo.
Hatupangiwi na mu asia wala mmarekani
Hivi amemshauri Trump kuhusu wizi wa kura akisaidiana na warusi #blacklivesmatter
Sawa mama DH
Hatupangiwi na mu asia wala mmarekani
Sisini ni taifa huru
Hahaha ccm mtajua hamjui mwaka huu!! DadekiAnawachochea wajinga wenzie wanaoabudu amerika na ulaya
Nani huyo??? Au unamaanisha huyu ambaye serikali yake ilimkana makonda kwenye vita dhidi ya mashoga?Wanajitahidi! ila yule nyangau mpenda ushoga hatumchagui ng'oooo!
H
Hatupangiwi na mu asia wala mmarekani
Sisini ni taifa huru
Kwa ww mvivu wa kusoma ndio unaona amezunguka. Hapo kila neno linasimama na uzito wake!!!!Hakuna kitu hapo, hyo anawachezea maslow thinking chadema akili, vinginevyo asingezunguka hivyo, ...
Nimekupuuza rasmi baada ya kugundua wewe sio mjinga maana mjinga anaelimika ila mpumbavu ni ulemavuWe mtoto wa tandale,ungeishi kule usingemshabikia jiwe matendo yake ya kinauncivilized utadhani akupita skull
Kwenye wewe weka mimiNimekupuuza rasmi baada ya kugundua wewe sio mjinga maana mjinga anaelimika ila mpumbavu ni ulemavu
Endelea kusubiri amerika waje wakupe maisha bora
Maisha Bora uletwa na sera bora na sio za kijima Kama boss wako za kusomeshwa namba watuNimekupuuza rasmi baada ya kugundua wewe sio mjinga maana mjinga anaelimika ila mpumbavu ni ulemavu
Endelea kusubiri amerika waje wakupe maisha bora
Nyie mapandikizi ndio mtajua hamjuiHahaha ccm mtajua hamjui mwaka huu!! Dadeki
Aliyeishi USA apingani na demokrasia na si muumini wa udikteta, udikteta uleta Vita afrikaNimekupuuza rasmi baada ya kugundua wewe sio mjinga maana mjinga anaelimika ila mpumbavu ni ulemavu
Endelea kusubiri amerika waje wakupe maisha bora
Mnachaguxi mbili umsindikize jiwe chattotown au the Hague,lzm tuikomboe nchi yetu sio Mali ya jiwe na wapwa zakeNyie mapandikizi ndio mtajua hamjui
Bado siku 5 tuu
Tanzania is safe and will conduct free and fair election as always.Kateni misaada na mikopo vinginevyo mambo haya kamwe hayatakoma.
Sijui kwanini nchi wahisani wanashindwa kuweka shariti la kutoa misaada na mikopo kuwa ni lazima nchi husika iwe na Tume Huru ya Uchaguzi inayokubalika na makundi yote.
Ningekuwa na ushawishi, ningeanzisha movement ya kuzitaka nchi tajiri na mashirika ya fedha ya kimataifa kuweka shariti kwamba, kila nchi inayotaka msaada au mkopo, ni shariti nchi hiyo iwe na Tume Huru ya Uchaguzi inayokubalika na wadau wote wa uchaguzi katika nchi hiyo.
Au kama hili gumu,basi movement yangu nyingine ni kuzishawishi nchi hizi kuweka shariti linaloweza kuwa kama incentive ambapo nchi yenye kuonyesha demokrasia ya kweli, kwa kuwa na Tume Huru na Katiba inayokubalika na makundi yote katika nchi kuwa ni moja ya kigezo ncha kwa nchi kupunguziwa au kufutiwa madeni.
Jitihada za nchi wahisani na mashirika ya fedha ya kimataifa za kuondoa umasikini katika mataifa yanayoendelea,hasa Afrika, haziwezi kufanikiwa iwapo katika nchi hizi hakuna demokrasia ya kweli, hivyo kuna ulazima wa kulazimisha nchi hizi kuwa na demokrasia vinginevyo maendeleo yatachukuwa muda mrefu kufikia katika nchi hizi.
Demokrasia ya kweli inafanya watawala wawajibike kwa watu wao na nchi zao na hivyo kuwezesha maendeleo kupatikana kwa haraka zaidi.
Nakuona ulivyo na ID nyingi😁😁😁Kwenye wewe weka mimi
Hazikusaidii hizo pambana na maisha yako, mmarekani anapambana na maisha yakeNimekupuuza rasmi baada ya kugundua wewe sio mjinga maana mjinga anaelimika ila mpumbavu ni ulemavu
Endelea kusubiri amerika waje wakupe maisha bora
We mtoto wa tandale,ungeishi kule usingemshabikia jiwe matendo yake ya kinauncivilized utadhani akupita skull
Umeula wa chuyaNakuona ulivyo na ID nyingi😁😁😁
Hazikusaidii hizo pambana na maisha yako, mmarekani anapambana na maisha yake
Jikomboe kwanza mwenyewe huo ufahamu wako kabla hujasema unaikomboa nchiMnachaguxi mbili umsindikize jiwe chattotown au the Hague,lzm tuikomboe nchi yetu sio Mali ya jiwe na wapwa zake