Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
China wanataka tufundishwe adabu wamesha tuingiza chaka
hilo linakujaHalafu muingizeni Mwenyekiti kwenye Orodha ya Magaidi
Akili zenu zimegota kwenye misaada tu.Kateni misaada na mikopo vinginevyo mambo haya kamwe hayatakoma.
Sijui kwanini nchi wahisani wanashindwa kuweka shariti la kutoa misaada na mikopo kuwa ni lazima nchi husika iwe na Tume Huru ya Uchaguzi inayokubalika na makundi yote.
Ningekuwa na ushawishi, ningeanzisha movement ya kuzitaka nchi tajiri na mashirika ya fedha ya kimataifa kuweka shariti kwamba, kila nchi inayotaka msaada au mkopo, ni shariti nchi hiyo iwe na Tume Huru ya Uchaguzi inayokubalika na wadau wote wa uchaguzi katika nchi hiyo.
Au kama hili gumu,basi movement yangu nyingine ingekuwa ni kuzishawishi nchi hizi kuweka shariti linaloweza kuwa kama incentive ambapo nchi yenye kuonyesha demokrasia ya kweli, kwa kuwa na Tume Huru na Katiba inayokubalika na makundi yote katika nchi kuwa ni moja ya kigezo ncha kwa nchi kupunguziwa au kufutiwa madeni.
Jitihada za nchi wahisani na mashirika ya fedha ya kimataifa za kuondoa umasikini katika mataifa yanayoendelea,hasa Afrika, haziwezi kufanikiwa iwapo katika nchi hizi hakuna demokrasia ya kweli, hivyo kuna ulazima wa kulazimisha nchi hizi kuwa na demokrasia vinginevyo maendeleo yatachukuwa muda mrefu kufikia katika nchi hizi.
Demokrasia ya kweli inafanya watawala wawajibike kwa watu wao na nchi zao na hivyo kuwezesha maendeleo kupatikana kwa haraka zaidi.
China wanataka tufundishwe adabu wamesha tuingiza chaka
Mwaka huu CCM wakicheza tu tunakwenda kuwa Zimbabwe
China katuingiza kichaka hasa maana haya mambo yana madhara makubwa mno.China wanataka tufundishwe adabu wamesha tuingiza chaka
Sera mbovu uleta umasikini ,lzm kwanza kuondoa chanzo cha tatizoJikomboe kwanza mwenyewe huo ufahamu wako kabla hujasema unaikomboa nchi
Get prepared this year. It’s either you turn this country to Zimbabwe or you allow democracy to prevailHe should be concern with how wealthy Nation like USA failed to control the outbreak of Covid 19...I f I were HIM I would have asked JPM to give me some notes on how he managed to prevent Million of Tanzanians from this deadly virus.
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Ccm hawatoki mwaka huu nakwambia. It’s do or dieUs balozi anasema " Tumeona vulugu za kisiasa, vizingiti na kubanwa kwa vyombo vya habari na mchakato wa uhidhinishaji wa wagombea (kuenguliwa) ambao kwa muonekano wake kwa ujumla, umekipa manufaa chama tawala. Tayari tunasikia taarifa kuwa maofisa wa uchaguzi wanawakatalia waangalizi/mawakala wa vituo kufanya kazi zao. Kwa pamoja, mambo hapa yanatoa picha mchakato wa uchaguxi ambao hautoi uwanja sawia wa uchaguzi" hawana pakutokea mwaka huu
Upunguze kujitisha, ina madhara mengi kiafya na umri wako mdogo utapata tabu sana😁😁😁Get prepared this year. It’s either you turn this country to Zimbabwe or you allow democracy to prevail
Tatizo lumumba wanadhani Marekani anatanianaga na wapuuzi!! Mwaka huu ndo watajua hawajui dadekiChina katuingiza kichaka hasa maana haya mambo yana madhara makubwa mno.
Kilimanjaro hii iliyoanza kustaariba Tanzania au ipi??? Unaijua Kilimanjaro unahadithiwa wewe???Magufuli kiboko yao. Kilimanjaro imekuwa nyeupe tayari kwa kuvunwa kura za kijani tupu. Sio Same, Mwanga, Rombo, Moshi mjini, Siha, Hai kote kumetepeta ndembendembe. Saccos ya mjasiriamali hawaamini kilichotokea, asante Sana JPM. Burudaniii