US$ Billionaire Rostam Aziz scolded at protectionist Kenya

Acha porojo!
Uhusiano gani wa tit for tat unaowezesha makampuni ya Kenya over 500 yaruhusiwe kuwekeza vitegauchumi nchini Tanzania, wakati ni makampuni kiduchu yapatayo 30 tu ya Watanzania ndiyo yaruhusiwe kuwekeza nchini Kenya? Ni wazi Kenya haikuridhia kuwa na wawekezaji wengi kutoka Tanzania.

Ikumbukwe kuwa uhusiano mwema, endelevu na wenye tija ni ule unao promote win-win-situation to both parties! otherwise the sustainability of such investments will both be questionable and short lived, and may only achieve to trigger off more antagonism that may ultimately derail the new spirits and concerted efforts our two leaders tries to revive the dented relations of the two neighboring countries. Let the two countries open up sincerely and be committed to what they pledge to honor!
 
Maguful aliijua vizur tabia ya kenya kwenye maswala ya vita ya kiuchumi, Maguful aliihakikisha tanzania haiwe soko la tanzania, kumbukeni kenya walipotuorodhesha kwa list nchi ambazo hazitakiwi kuingia kenya wakati wa covid na maguful alizuia ndege za kwenye kuja zanzibar na Dar, haikupita week walisort immediately. Kenya sio wa kuwaendekeza wanajua wanacho kifanya
 
sijakuelewa!
 

Katika maisha, kuwa makini sana kushirikiana na watu ambao hawana soni (aibu) wala miiko.
 




MY TAKE
Just like flour from Tanzania barred from reaching supermarkets in Kenya, a $130 mln investment in gas has gone unanswered since 2017 and he visited Uhuru Kenyatta in person. As i always say Kenyatta is hypocrite!

CC: Tony254
Saa hii ndio nimepata muda wa kumsikiliza huyo investor Rostam. Ameongea vizuri sana. Aruhusiwe kabisa aje huku ainvest kwenye gas. Kenya tunahitaji gas investments.
 
Ficha upumbavu wako, unafikiri kuna muwekezaji mkenya wa kukulipa kikubwa chochote tofauti na matajiri wa Tz.
Wakenya wanalipa vizuri kushinda wahindi. Kwani wewe hujui? Heijah uko sahihi ni vizuri wawekezaji waje Tanzania kwa sababu wataongeza ajira huko.
 
Wakenya wanalipa vizuri kushinda wahindi. Kwani wewe hujui? Heijah uko sahihi ni vizuri wawekezaji waje Tanzania kwa sababu wataongeza ajira huko.
Nashangaa watu wana panic sasa kweli tuwe tunajazana tu kwa kina Bakhresa au Mo lazima waje wawekezaji wengi na maslahi yataongezeka tu kidogo kidogo na hili naamini wafanya biashara wengi hawalipendelei hili hatupendi ushindani wana umoja wao wana control mpaka wages. Kuna watu wanapunjwa maslahi sana lakini hawana options. Lakini hao hao wakileta wafanyakazi wageni nje basi hapo atapewa nyumba, gari, bima, tickets, ada ya shule kila kizuri wewe Mtanzania labda kazi ileile hupati hata robo, kwanini? sababu wanajuwa hawana options ndi malipo yao haya. Lakini husikii watu kuwasema hawa wanaoitwa wawekazi wazawa kuboresha maisha ya wafanyakazi ila matusi kwa wa kenya. Mkenya ukiona kaja kwenye kampuni hizi ujuwe analipwa vizuri sana hakubali ubabaishaji.
 
Foreign investor huwa wanafanya capital flight na matokeo yake gdp kubwa...ground unakuta zero kama kenya ilivyo.....tunaitaji uwekezaji wa wazawa uwe mkubwa kuliko foreigners.....

China iliwaruhusu kwa kiasi kikubwa foreigner investor baada ya kuwajengea uwezo watu wao wa kukumuika nao lengo likiwa ni kunufaika na mitaji na technologia kutoka kwa foreigners.....

Na sababu ya trump kuyarudisha baadhi ya USA companies si kwa sababu ya ajira..no ......ni kwa sababu ya uchina kuiba technologia yao...

Note:kuwekeza nje ya nchi yako kwa kiasi kikubwa kunainufaisha nchi yako...
 
Achana na Huyo mjinga... Mm ni mfanya biashara wa mazao Kenya tunawahitaji zaidi ya chochote kile, hao wanaosema nyie ndiyo mnaotuhitaji ni watoto wasio jua maisha ni kitu gani
Tunaposema wanatuitaji zaidi....hatuangalii factor moja tu...mahindi...nope....tunaconsider many factors kaka na si mahindi tu....
 
Win-win agreement hawataki kabisaa hawa majirani....labda kwa kuwa na damu ya ubeberu uliojikita hadi kwenye uloto wa mifupa yao
 
Saa hii ndio nimepata muda wa kumsikiliza huyo investor Rostam. Ameongea vizuri sana. Aruhusiwe kabisa aje huku ainvest kwenye gas. Kenya tunahitaji gas investments.
Unasema aruhusiwe kama nani? wewe ni chawa! Uhuru ndo anaamua!
 
Na sasa mbona wahindi wenu wanalia machozi kwamba wanataka Kenya ifungue market yake?
Na nani alieshoboka kumpa mualiko Samia huko? Huyo ndo mwenye shida
 
Wewe sijui Tony254 hujui kitu kabisa kuhusu uhusiano wa TZ na Kenya ...uhusiano mbaya Kati ya TZ haujaanza Leo ni tangu miaka ya 1960 na 70..kumbuka pale EAC ilipovunjika 1977 Kenya ilifurahi mno..wakateka karibu ndege zote za jumuiya..pilot mtanzania akafanikiwa kutorosha ndege moja tu..Kenya Airways mtaji wake mkubwa ni ndege zilizoporwa na Kenya...meli kwenye lake Victoria mkageuza hoteli..stupid Kenyans...Mpaka ukafungwa magari ya KENATCO yakazuiwa kuja Tanzania..in fact uhusiano wa TZ na Kenya haujawahi kuwa mzuri tangu enzi za Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli..na hata kwa Samia uhusiano hauwezi kuwa mzuri..Kenya inataka ku-dominate kiuchumi Jambo ambalo TZ haiwezi kukubali...TZ ikitaka kuja kuwekeza kwenye media Kenya haiwezi kukubali lakini Kenya imewekeza TZ kwenye media Kama magazeyi ya Mwananchi, the Citizen na Mwanaspoti..urafiki Kati ya TZ na Kenya siku zote ni wa mashaka na utaendelea kuwa hivyo vizazi na vizazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…