Wewe sijui Tony254 hujui kitu kabisa kuhusu uhusiano wa TZ na Kenya ...uhusiano mbaya Kati ya TZ haujaanza Leo ni tangu miaka ya 1960 na 70..kumbuka pale EAC ilipovunjika 1977 Kenya ilifurahi mno..wakateka karibu ndege zote za jumuiya..pilot mtanzania akafanikiwa kutorosha ndege moja tu..Kenya Airways mtaji wake mkubwa ni ndege zilizoporwa na Kenya...meli kwenye lake Victoria mkageuza hoteli..stupid Kenyans...Mpaka ukafungwa magari ya KENATCO yakazuiwa kuja Tanzania..in fact uhusiano wa TZ na Kenya haujawahi kuwa mzuri tangu enzi za Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli..na hata kwa Samia uhusiano hauwezi kuwa mzuri..Kenya inataka ku-dominate kiuchumi Jambo ambalo TZ haiwezi kukubali...TZ ikitaka kuja kuwekeza kwenye media Kenya haiwezi kukubali lakini Kenya imewekeza TZ kwenye media Kama magazeyi ya Mwananchi, the Citizen na Mwanaspoti..urafiki Kati ya TZ na Kenya siku zote ni wa mashaka na utaendelea kuwa hivyo vizazi na vizazi