Us department:'' Raia wamarekani ondokeni mara moja Cyprus sababu ya kiusalama

Us department:'' Raia wamarekani ondokeni mara moja Cyprus sababu ya kiusalama

son of a teacher

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2017
Posts
695
Reaction score
1,817
Serikali ya marekani imewaambia raia wake wanaoishi Cyprus waondoke mara moja na wahame na mali zao kwasababu za kiusalama.

Screenshot_20260304_113514_Chrome.jpg



Ina maana jumba bovu wanaachiwa wa Cyprus wenyewe?
 
Heti wachukue na Mali zao kabisa!!!! manake wenyeji wabaki na vumbi la Congo tu😝😝😝😝😝
😁😁😁 Halafu Kuna mtu yupo namtumbo huko anasema Iran hawana tishio lolote,

Kama sio tishio why USA awaambie raia wake wakimbie siawalinde wakiwa hapo hapo
 
😁😁😁 Halafu Kuna mtu yupo namtumbo huko anasema Iran hawana tishio lolote,

Kama sio tishio why USA awaambie raia wake wakimbie siawalinde wakiwa hapo hapo
Wanaosema ivyo ni watoto wadogo hawajui istoria ya Iran USA iliwahi kuungana na Uingereza na IRAQ kupigana na IRAN still Iran ikaendelea kuepo unafikiri mchezo na hiyo vita Iran ilishinda
 
Kwani walikuja na Mali apo Cyprus wajibebe kama walivokuja shubamik zao!!

Pale Cyprus kuna kituo cha Anga cha KIJESH kinamilikiwa na UK.

so zaidi ya miaka miwili sasa Hezbollah na Iran wanalalamika kwa mamlaka ya Cyprus !!

Kuwa ndege za Kijesh za Israel uwa azitokei ndani ya Israel zaidi zinatokea pale Cyprus !!!!

kwakua Cyprus imeshupaza shingo wacha mvua inyeshe!!

kwasasa kuna Drone za Hezbollah au Iran zimewafikia kwenye iyo kambi zishaenda kuchonga ramani pakupigwa na tujuavyo Iran hanaga kazi mbovu!!!

kifuatacho wanakijua Vizur kwasasa wamekiona uko Dubai nk ndiomana wanatakiwa wabebe mpaka magoro yao🤣🤣🤣🤣🤣🤣 i!! Ndio Nchi tulidanganywa heti hawapigiki 😜😜

sio kwa Iranian ni nomaaa mbuzi kafia kwa muuza supu.
 
Hivi ruto anawez amvimbia trump asitumie military base ya kule Kenya?
 
Back
Top Bottom