Kwani walikuja na Mali apo Cyprus wajibebe kama walivokuja shubamik zao!!
Pale Cyprus kuna kituo cha Anga cha KIJESH kinamilikiwa na UK.
so zaidi ya miaka miwili sasa Hezbollah na Iran wanalalamika kwa mamlaka ya Cyprus !!
Kuwa ndege za Kijesh za Israel uwa azitokei ndani ya Israel zaidi zinatokea pale Cyprus !!!!
kwakua Cyprus imeshupaza shingo wacha mvua inyeshe!!
kwasasa kuna Drone za Hezbollah au Iran zimewafikia kwenye iyo kambi zishaenda kuchonga ramani pakupigwa na tujuavyo Iran hanaga kazi mbovu!!!
kifuatacho wanakijua Vizur kwasasa wamekiona uko Dubai nk ndiomana wanatakiwa wabebe mpaka magoro yaoπ€£π€£π€£π€£π€£π€£ i!! Ndio Nchi tulidanganywa heti hawapigiki ππ
sio kwa Iranian ni nomaaa mbuzi kafia kwa muuza supu.