KERO Us dollar bado inatufinya wapangaji wa maeneo prime area Dar

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

BOB LUSE

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
3,738
Reaction score
3,199
Wenye nyumba maeneo ya Masaki/Mikocheni n k wengi bado wanashinikiza malipo ya Dola (US $) Wakati nchi haina udhibiti tena wa sarafu hii.

Bei ya Dola inazidi kupanda na haitabiliki kesho itakuwa kiasi Gani.

Mawazo yenu wadau, namna ya kuondokana na gharama hizi za ongezeko linalotokana na uhaba wa Dola na Wala sio uchumi kushuka.

Pia soma
 
Wenye nyumba maeneo ya Masaki/Mikocheni n k wengi bado wanashinikiza malipo ya Dola (US $) Wakati nchi Haina udhibiti tena wa sarafu hii.

Bei ya Dola inazidi kupanda na haitabiliki kesho itakuwa kiasi Gani.
Mawazo yenu wadau, namna ya kuondokana na gharama hizi za ongezeko linalotokana na uhaba wa Dola na Wala sio uchumi kushuka .
NATAMANI Serikali ingekuwa na Mamlaka kwenye mikataba baina ya watu.hali ni Mbaya.
 
Wenye nyumba maeneo ya Masaki/Mikocheni n k wengi bado wanashinikiza malipo ya Dola (US $) Wakati nchi Haina udhibiti tena wa sarafu hii.

Bei ya Dola inazidi kupanda na haitabiliki kesho itakuwa kiasi Gani.
Mawazo yenu wadau, namna ya kuondokana na gharama hizi za ongezeko linalotokana na uhaba wa Dola na Wala sio uchumi kushuka .
Waripotini kwa Mwigulu Nchemba
 
Issue hii kama haikugusi huwezi ona shida ambayo Serikali imeacha bila kushughulikia,ilipaswa wasimamie Kwa kupiga marufuku mikataba ya dolla nchini. Shida wao ndio wamiliki wa majengo yenye mikataba ya Dollar
Serikali ilishapiga marufuku, ndio maana nasema, kama wewe umelazimishwa mktataba wa dola, mripoti anonymously landlord wako.

Mie ninachoelewa ni kwamba landlord anaweza kusema rent ni dola say 500, ila kila unapolipa rent unaweza kulipa hiyo $500 kwa equivalent ya Tshs. Sio akulazimishe ulipe in dollars. Mwambie kama anapenda dola akazinunue mwenyewe wewe utampa equivalent amount in Tshs. Ila sasa, rent yako in Tshs itakuwa inabadilika kila mwezi, kutegemea exchange rate.

Akikuletea figusu, mripoti na tafuta nyumba nyingine
 
Serikali ilishapiga marufuku, ndio maana nasema, kama wewe umelazimishwa mktataba wa dola, mripoti anomimously landlord wako.

Mie ninachoelewa ni kwamba landlord anaweza kusema rent ni dola say 500, ila kila unapolipa rent unaweza kulipa hiyo $500 kwa equivalent ya Tshs. Sio akulazimishe ulipe in dollars. Mwambie kama anapenda dola akazinunue mwenyewe wewe utampa equivalent amount in Tshs. Ila sasa, rent yako in Tshs itakuwa inabadilika kila mwezi, kutegemea exchange rate.

Akikuletea figusu, mripoti na tafuta nyumba nyingine
Very true, issue sio Landlord kukataa kupokea equivalent in Tshs,tatizo thamani ya Dola inapanda Kila mwezi,tuliposaini ilikuwa chini ya 2,400 Leo nimeona ni 2,780 ongezeko Hilo ni kubwa mno.
 
Ndio maana landlord wanajilinda, so sometimes inabidi uwaelewe. Unfortunately, utendaji wa serikali yetu unasababisha shilingi kukosa stability, na kina Mwigulu wenye kusema wana first class za Economics hatuoni wakiona kuwa hili ni tatizo ambalo serikali inapaswa kulirekebisha. Ila sasa, labda next time unamwambia bwana, naomba unipe rent for one year, at a fixed exchange rate ambayo tunaweza ku-negotiate sasa hivi wakati wa ku-sign contract
 
Wenye nyumba maeneo ya Masaki/Mikocheni n k wengi bado wanashinikiza malipo ya Dola (US $) Wakati nchi Haina udhibiti tena wa sarafu hii.

Bei ya Dola inazidi kupanda na haitabiliki kesho itakuwa kiasi Gani.
Mawazo yenu wadau, namna ya kuondokana na gharama hizi za ongezeko linalotokana na uhaba wa Dola na Wala sio uchumi kushuka .
Siku hizi dollar ni kama nyara za serikali.
 
Tatizo ni sirikali ndio haina mamlaka, wanasema tu majukwaani lakini maneneo hayawezi kuwa sheria kwa watu wanaojitambua. Inapaswa iwepo sheria inayokataza malipo ya dola, na kama ipo basi ni wajibu wako mlipaji kusimamia haki yako. Akikataa kupokea shilingi mpeleke mahakamani akaeleze kwa nini. Tatizo linakuja mahakama ipi? Kwa hawa hakimu mafisi.
 
Wenye nyumba maeneo ya Masaki/Mikocheni n k wengi bado wanashinikiza malipo ya Dola (US $) Wakati nchi Haina udhibiti tena wa sarafu hii.

Bei ya Dola inazidi kupanda na haitabiliki kesho itakuwa kiasi Gani.
Mawazo yenu wadau, namna ya kuondokana na gharama hizi za ongezeko linalotokana na uhaba wa Dola na Wala sio uchumi kushuka .
wenye nyumba ndio vigogo watoto maamuzi mkuu
 
Very true, issue sio Landlord kukataa kupokea equivalent in Tshs,tatizo thamani ya Dola inapanda Kila mwezi,tuliposaini ilikuwa chini ya 2,400 Leo nimeona ni 2,780 ongezeko Hilo ni kubwa mno.

Hapo sioni kama kuna namna nyingine yeyote ile zaidi ya kumbembeleza landlord wako akuonee huruma.

Hata huyo kuweka rent in US dollar ni kwa vile anajua hii shilingi yetu, kutokana na mifumo yetu mibaya ya uchumi, haitabiriki, na anaweza siku moja akaishia kulipwa pesa isiyoweza hata kutengeneza choo kikiharibika.

Watanzania tutaendelea na haya matatiźo mpaka siku tutakapowapata watu wenye uwezo wa kusimamia vizuri uchumi wa nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo ni sirikali ndio haina mamlaka, wanasema tu majukwaani lakini maneneo hayawezi kuwa sheria kwa watu wanaojitambua. Inapaswa iwepo sheria inayokataza malipo ya dola, na kama ipo basi ni wajibu wako mlipaji kusimamia haki yako. Akikataa kupokea shilingi mpeleke mahakamani akaeleze kwa nini. Tatizo linakuja mahakama ipi? Kwa hawa hakimu mafisi.

Hujamwelewa mleta mada. Hajasrma kuwa landlord anakataa kupokea shilingi, bali mkataba wa upangaji upo kwa currency ya US dollar. Hivyo anatakiwa kulipa katika US dollar kwa kiwango walichokubaliana au kwa TZS kwa thamani ya kile kiwango cha dola. Sasa kwa sababu shilingi ya Tanzania thamani yake inaporomoka kila siku, anajikuta rent katika shilingi ikipanda kila mwezi.

Ushauri Mzuri,nilikuwa nawaza niongee naye kwakuwa mipango inaharibika
 
Tatizo ni sirikali ndio haina mamlaka, wanasema tu majukwaani lakini maneneo hayawezi kuwa sheria kwa watu wanaojitambua. Inapaswa iwepo sheria inayokataza malipo ya dola, na kama ipo basi ni wajibu wako mlipaji kusimamia haki yako. Akikataa kupokea shilingi mpeleke mahakamani akaeleze kwa nini. Tatizo linakuja mahakama ipi? Kwa hawa hakimu mafisi.
Kweli Serikali haisimamii inachosema kinaishia majukwaani,walisema Kodi tuwe tunalipa Kwa mwezi sio Mwaka au miezi SITA,mpaka Leo wameshindwa kulisimamia
 
Hujamwelewa mleta mada. Hajasrma kuwa landlord anakataa kupokea shilingi, bali mkataba wa upangaji upo kwa currency ya US dollar. Hivyo anatakiwa kulipa katika US dollar kwa kiwango walichokubaliana au kwa TZS kwa thamani ya kile kiwango cha dola. Sasa kwa sababu shilingi ya Tanzania thamani yake inaporomoka kila siku, anajikuta rent katika shilingi ikipanda kila mwezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Exactly, landlord Hana shida,as long as Kodi yake inaongezeka,na haijawahi shuka,Kila mwezi inapanda mpaka inachukua nusu ya turnover Kwa Mwaka! Vigumu kahamisha Brand inayoendana na location Fulani.
 
Back
Top Bottom