US Dollar sasa ni 2600. Airport Haipo

US Dollar sasa ni 2600. Airport Haipo

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
7,914
Reaction score
10,793
Wadau.

Daktari wetu wa uchumi anasemaje huko?. Dollar sasa imeadimika sana na inazidi kupaa tu. Kiufupi sasa uchumi wetu unachuchumia kifo. Hapa Aiport ya Dar haipatikani imebidi niagize mtu KARIAKOO na hiyo ndio bei. Yaani nilikuwa na Milion yangu nimeambulia dollar 385.

Tuwe makini sana. Maana sasa hata bajet ya tr 40+ sio kitu tena kama tunategemea kununua vitu nje ya nchi.

Mambo ni moto kila kona.
 
Mbona nimeingia BOT bado inasoma selling price ni 2336
 
Kitu USA anafanya anajua mwenyewe.
Wakati Ruto alisema dola itakuwa value less na kila mtu atakosa pakuipeleka, ndio kwanza inaanza kuadimika.
Huyo Rutto alikuwa kashiba maharage ya Mbeya! Kwa puttin leo imepanda mpaka Ruble 90.22, kwa Mchina inasoma 7.17. Na jamaa wanazidi kuifanya ipande thamani tu mpaka watakapoona imetosha
 
B.O.T
IMG_20230713_162025.jpg
 
Kwani sasa anamukomoa nani? Ingekuwa amri yangu tungeanza ku trade na Chinese Yen!!!
Kwake ni faida kubwa sanaaa! Ni sawa na ukienda kwa dalali kuuza mazao ukute lile jiwe la kilo moja amelifanyia umafia liwe na uzito na 1.5kg! Itakulazimu kupima mazo mengi zaidi ili upate kile moja. Pesa yake ndo standard/ Kipimo cha kupimia thamani ya pesa zingine
 
Back
Top Bottom