Ukienda kariakoo zaidi ya 75% ya vitu vinavyouzwa ni imported..means tunatumia dola zaidi kuagiza vitu(demand ya dola ni kubwa ku support supply ya bidhaa kutoka nje).
Nini kifanyike?
1. Tungeanza kwa kuongeza export ili tupate inflow ya dola...
2. Tungepunguza importation kwa kuongeza viwanda vya ndani
3. Tungetumia gas asilia kwenye magari ili kuokoa dola zinazotumika ku nunua mafuta.
4. Ban importation ya mafuta ya kula na mazao yote ya kilimo ili ku save vijidola vichache tulivyibakiza...after 60yrs of independent na kua na inchi yenye rutuba na maji ya kutosha sioni sababu ya kuagiza misosi nje...ni aibu.
Otherwise tuendelee kulaumiana while doing nothing in the process.