Mbona nimeingia BOT bado inasoma selling price ni 2336Wadau.
Daktari wetu wa uchumi anasemaje huko?. Dollar sasa imeadimika sana na inazidi kupaa tu. Kiufupi sasa uchumi wetu unachuchumia kifo. Hapa Aiport ya Dar haipatikani imebidi niagize mtu KARIAKOO na hiyo ndio bei. Yaani nilikuwa na Milion yangu nimeambulia dollar 385.
Tuwe makini sana. Maana sasa hata bajet ya tr 40+ sio kitu tena kama tunategemea kununua vitu nje ya nchi.
Mambo ni moto kila kona.
Huyo Rutto alikuwa kashiba maharage ya Mbeya! Kwa puttin leo imepanda mpaka Ruble 90.22, kwa Mchina inasoma 7.17. Na jamaa wanazidi kuifanya ipande thamani tu mpaka watakapoona imetoshaKitu USA anafanya anajua mwenyewe.
Wakati Ruto alisema dola itakuwa value less na kila mtu atakosa pakuipeleka, ndio kwanza inaanza kuadimika.
Exchange rate ya mtabdaoni inasoma 2448Mbona nimeingia BOT bado inasoma selling price ni 2336
Kwani sasa anamukomoa nani? Ingekuwa amri yangu tungeanza ku trade na Chinese Yen!!!Huyo Rutto alikuwa kashiba maharage ya Mbeya! Kwa puttin leo imepanda mpaka Ruble 90.22, kwa Mchina inasoma 7.17. Na jamaa wanazidi kuifanya ipande thamani tu mpaka watakapoona imetosha
Kwake ni faida kubwa sanaaa! Ni sawa na ukienda kwa dalali kuuza mazao ukute lile jiwe la kilo moja amelifanyia umafia liwe na uzito na 1.5kg! Itakulazimu kupima mazo mengi zaidi ili upate kile moja. Pesa yake ndo standard/ Kipimo cha kupimia thamani ya pesa zingineKwani sasa anamukomoa nani? Ingekuwa amri yangu tungeanza ku trade na Chinese Yen!!!
Tazama hapo jama karusha ubao mzima .Selling rate inaonyesha 2345 wakati commercial banks rate ipo kwenye 2350 na wanasema very soon itashoot 3000 kwa kuipata USD moja. Nafikiri tuhamie kwingine tu.Mbona nimeingia BOT bado inasoma selling price ni 2336
kusoma 2336 nakupatikana ni vitu viwili tofauti.Mbona nimeingia BOT bado inasoma selling price ni 2336
Afadhali umetusaidia kutopoteza pesa kwenye Ubber kukimbilia BOT kuchukua zakutosha kumbe jama katuingiza chaka eti rate ni 2336
Yeye kanunua Kariakoo kwa Wajanja!Mbona nimeingia BOT bado inasoma selling price ni 2336
πππkusoma 2336 nakupatikana ni vitu viwili tofauti.