US Dollar sasa ni 2600. Airport Haipo

.
 
Hapo kuna madalali wanafanya yao
 

Attachments

  • 20230713_165913.jpg
    203 KB · Views: 6
Na tabia hii ya kupenda kufanyiwa na kuletewa kila kitu / tutegee itandelea kuadimika / kupanda..

Tatizo la short term thinking....; tungekuwa wazalishaji tungeshangilia hata pale pesa yetu inavyokuwa chini in comparison na wenzetu
 
wenda mmarekani anakusanya pesa yake anawaonesha dunia kwamba yeye ndo kusema, state house iko marekani lakin anaamua mnyakusa TZ anunue sukari kwa bei ghan
 
Tazama hapo jama karusha ubao mzima .Selling rate inaonyesha 2345 wakati commercial banks rate ipo kwenye 2350 na wanasema very soon itashoot 3000 kwa kuipata USD moja. Nafikiri tuhamie kwingine tu.
Suala la kuhamia 'kwingine' sio la wewe kufikiri tu.
 
Kwani ni lazima tuimport bidhaa ili kupata dollar?

Je tukiongeza idadi ya watalii mpaka milion 7 huko hautapata inflow ya dollars.

NB
Mimi siyo mchumi nimeuliza kwa lengo la kujifunza tu.
 
Kwani ni lazima tuimport bidhaa ili kupata dollar?

Je tukiongeza idadi ya watalii mpaka milion 7 huko hautapata inflow ya dollars.

NB
Mimi siyo mchumi nimeuliza kwa lengo la kujifunza tu.
sio kama dollar inchin haipatikani inapatikana lakin matumizi ya kuitumia ni makubwaa sanaa kuliko yanayo ingia itaadimika tu, worldwide uchumi ukikaba na nchi yetu tunategemea watalii inakuwaje sasa na mpaka toothsticks tunaagiza china kwa dollar.
 

Attachments

  • IMG_20230712_102225_808.jpg
    1,014.1 KB · Views: 8
Huyo Rutto alikuwa kashiba maharage ya Mbeya! Kwa puttin leo imepanda mpaka Ruble 90.22, kwa Mchina inasoma 7.17. Na jamaa wanazidi kuifanya ipande thamani tu mpaka watakapoona imetosha
Kwamba kila kitu mnakijua na mnaweza kukijadili kama mnavofanya kwa DP world. Mkiambiwa elimu na utulivu ni muhimu mnawaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…