US Dollar sasa ni 2600. Airport Haipo

Kuna watu hawata kuelewa zaidi ya lawama kwa mama wa watu.
 
No nilikokuwa napeleka ni kiwandani hawataki nyingine tofauti na usd
Ok kuna kipindi dollar ilileta shida. Nikaachana nazo nikakimbizana na pounds watu wengi walikuwa hawajui. Na ret ilikuwa poa sema uwe makin tu unaweza kuingia cha kike.
 
Kitu USA anafanya anajua mwenyewe.
Wakati Ruto alisema dola itakuwa value less na kila mtu atakosa pakuipeleka, ndio kwanza inaanza kuadimika.
Rutoo atapigwaa spanner mpata aite maji mma
 
Acha ujuaji dogo, kwani kama mda ndo kakutumia kutoka bank ndo uhalisia au
Hizo za BOT hazifanyi kazi. Zinazofanya kazi ni hizo za CRDB na kwingine. BOT ishakuwa siasa tu pale.
 
Duh tutoe bandari haraka
 
Serikali imeipa China eneo pale Ubungo wajenge maduka 2060
Hayo maduka yatakuwa yanauza bidhaa kutoka China tu, maana yake ni kuwa importation itaongezeka zaidi badala ya Export na Reexport
 
Na tabia hii ya kupenda kufanyiwa na kuletewa kila kitu / tutegee itandelea kuadimika / kupanda..

Tatizo la short term thinking....; tungekuwa wazalishaji tungeshangilia hata pale pesa yetu inavyokuwa chini in comparison na wenzetu
Aliyekuwa anahamasisha tujitengenezee vyetu ndo huyo tulishamfukia, Wengine ni kama hawalioni hili, hatuna bahati watz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…