M mockers JF-Expert Member Joined Nov 19, 2013 Posts 12,843 Reaction score 35,442 Jul 25, 2023 #81 Kushindwa kwa serikali ndio namna hiyo sasa
M2WAWA2 JF-Expert Member Joined Aug 15, 2014 Posts 3,285 Reaction score 5,598 Jul 25, 2023 #82 UCHUMI UMEKUA NDIO MAANA IMETOKA 2300 KWENDA 2600. KWA HAKIKA SERIKALI YETU NI SIKIVU NA YA WACHAPA KAZI. #MAMAAWERAISAISIYENAKIKOMO
UCHUMI UMEKUA NDIO MAANA IMETOKA 2300 KWENDA 2600. KWA HAKIKA SERIKALI YETU NI SIKIVU NA YA WACHAPA KAZI. #MAMAAWERAISAISIYENAKIKOMO
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 31,415 Reaction score 38,761 Jul 25, 2023 #83 M2WAWA2 said: UCHUMI UMEKUA NDIO MAANA IMETOKA 2300 KWENDA 2600. KWA HAKIKA SERIKALI YETU NI SIKIVU NA YA WACHAPA KAZI. #MAMAAWERAISAISIYENAKIKOMO Click to expand... huwezi amini mtu wa ccm anaweza akasema hivi mbele za watu na si makusudi ila ndivyo anavyojua[emoji23][emoji23][emoji23]
M2WAWA2 said: UCHUMI UMEKUA NDIO MAANA IMETOKA 2300 KWENDA 2600. KWA HAKIKA SERIKALI YETU NI SIKIVU NA YA WACHAPA KAZI. #MAMAAWERAISAISIYENAKIKOMO Click to expand... huwezi amini mtu wa ccm anaweza akasema hivi mbele za watu na si makusudi ila ndivyo anavyojua[emoji23][emoji23][emoji23]
M2WAWA2 JF-Expert Member Joined Aug 15, 2014 Posts 3,285 Reaction score 5,598 Jul 25, 2023 #84 mkorinto said: huwezi amini mtu wa ccm anaweza akasema hivi mbele za watu na si makusudi ila ndivyo anavyojua[emoji23][emoji23][emoji23] Click to expand... HALAFU NI MWENYEKITI, DIWANI AU MBUNGE
mkorinto said: huwezi amini mtu wa ccm anaweza akasema hivi mbele za watu na si makusudi ila ndivyo anavyojua[emoji23][emoji23][emoji23] Click to expand... HALAFU NI MWENYEKITI, DIWANI AU MBUNGE