PostGE2025 US Foreign Relations: Tanzania is neither stable nor a place where U.S. investment can thrive

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
1000536204.jpg

Tanzanians marked their Independence Day under lockdown, with heavy security, social media restrictions, and unsanctioned gatherings outlawed to stifle expected protests.

Recent deadly violence and this week's nationwide clampdown show Tanzania is neither stable nor a place where U.S. investment can thrive. This puts hundreds of American companies at risk and makes it clear the urgent need to review the bilateral relationship and U.S.-backed investments.

===

Mwenyekiti wa Kamati ya Seneti ya Mahusiano ya Kigeni

Watanzania waliadhimisha Siku yao ya Uhuru wakiwa wamefungiwa, huku ulinzi mkali, vizuizi vya mitandao ya kijamii na mikusanyiko isiyoidhinishwa ikiwa imeharamishwa kuzima maandamano yanayotarajiwa.

Vurugu mbaya za hivi majuzi na vikwazo vya wiki hii nchini kote vinaonyesha Tanzania si tulivu wala si mahali ambapo uwekezaji wa Marekani unaweza kustawi.

Hili huweka mamia ya makampuni ya Marekani hatarini na huweka wazi haja ya dharura ya kukagua uhusiano wa nchi mbili na uwekezaji unaoungwa mkono na Marekani.
 
Tukiachana na watawala watanzania kuzingua sanaaa, ila wazungu nao ni wanafiki sana, tuishi nao Kwa akili, sema ndio na watawala hawana akili ambao wameziweka kutuwakilisha
 
Alafu Kuna mtu anaanzisha nyuzi anakuambia "Kiko wapi mbona hamjaandamana?"

Mwingine "Mama anakuja kuwashukuru kwa utulivu mliounyesha kwa kukataa fujo"

Fujo Gani?

Nani alisema ataleta fujo?

Na kwanini unifungie ndani kiasi kwamba nikitoka nje naambiwa rudi ndani kisha baadae unipongeze?

Kwanza Kwanini siku ya uhuru unifungie ndani nisitokee kusherekea uhuru?

LiMsigwa linakuja kusema "Tanzania tumeionyesha Dunia ni nchi ya amani"

Amani Gani? Ya kufungiana ndani Huku nje mnawatembeza wajeda na mitutu ya bunduki na ndege angani?

U.S. wapo sahihi 100% nchi ishakuwa ya hovyo hii.
 
Alafu Kuna mtu anaanzisha nyuzi anakuambia "Kiko wapi mbona hamjaandamana?"

Mwingine "Mama anakuja kuwashukuru kwa utulivu mliounyesha kwa kukataa fujo"

Fujo Gani?

Nani alisema ataleta fujo?

Na kwanini unifungie ndani hata nikitoka nje naambiwa rudi ndani kisha baadae unipongeze?

Kwanza Kwanini siku ya uhuru unifungie ndani nisitokee kusherekea uhuru?

U.S. wapo sahihi 100% nchi ishakuwa ya hovyo hii.
Watu kama hao mimi huwa hawanisumbui, wanamtumikia mtu badala ya kulitumikia taifa.

Unakuta mtu anashangilia watu kuuawa hata kama ni kwa sababu yeyote ile ni ujinga.
 
Nilisema,unakutana nao mnaongea halafu kesho unakula spana.

Balozi alikutana na Mkulu 8/12/2025,siku tatu baadae waraka!!
Alifikiri kuwahonga mradi wa LNG kutawanyamazisha.
 
View attachment 3514149

Tanzanians marked their Independence Day under lockdown, with heavy security, social media restrictions, and unsanctioned gatherings outlawed to stifle expected protests.

Recent deadly violence and this week's nationwide clampdown show Tanzania is neither stable nor a place where U.S. investment can thrive. This puts hundreds of American companies at risk and makes it clear the urgent need to review the bilateral relationship and U.S.-backed investments.

===

Mwenyekiti wa Kamati ya Seneti ya Mahusiano ya Kigeni

Watanzania waliadhimisha Siku yao ya Uhuru wakiwa wamefungiwa, huku ulinzi mkali, vizuizi vya mitandao ya kijamii na mikusanyiko isiyoidhinishwa ikiwa imeharamishwa kuzima maandamano yanayotarajiwa.

Vurugu mbaya za hivi majuzi na vikwazo vya wiki hii nchini kote vinaonyesha Tanzania si tulivu wala si mahali ambapo uwekezaji wa Marekani unaweza kustawi.

Hili huweka mamia ya makampuni ya Marekani hatarini na huweka wazi haja ya dharura ya kukagua uhusiano wa nchi mbili na uwekezaji unaoungwa mkono na Marekani.
Maneno hayatoshi njoo na manowari na midege mfanyekazi
 
Tukiachana na watawala watanzania kuzingua sanaaa, ila wazungu nao ni wanafiki sana, tuishi nao Kwa akili, sema ndio na watawala hawana akili ambao wameziweka kutuwakilisha
Hivi ni kwanini watu hupenda kutumia neno "wazungu" ku - describe watu wa mataifa ya America na Ulaya? Kwani hakuna wasio wazungu waishio ktk mataifa hayo?

Nadhani the best way ni kutaja utaifa wa watu unaowaelezea toka ktk nchi zao: Mfano Wamerekani, Waingereza, Wareno, Wajerumani, Wachina, Wajapani nk
 
Hatuhitaji kuambiwa na jirani tunachokiona sisi wenyewe - Kweli hali sio shwari na nchi inaelekea pabaya sana tena sana.....

Stability ni ya muhimu kwa sisi wenyewe pia, kwahio hata tukiambiwa hali ni nzuri tunajua bado ni mbaya na kama shamba la bibi lipo hata kama ni Somalia watakwenda tu au hata kule Congo wapo....

That said, Ukizingatia hii ni Awamu ambayo kila kitu hatuwezi basi tuna shida kubwa sana....

Alafu Kuna mtu anaanzisha nyuzi anakuambia "Kiko wapi mbona hamjaandamana?"

Mwingine "Mama anakuja kuwashukuru kwa utulivu mliounyesha kwa kukataa fujo"

Fujo Gani?

Nani alisema ataleta fujo?

Na kwanini unifungie ndani hata nikitoka nje naambiwa rudi ndani kisha baadae unipongeze?

Kwanza Kwanini siku ya uhuru unifungie ndani nisitokee kusherekea uhuru?

U.S. wapo sahihi 100% nchi ishakuwa ya hovyo hii.
Nchi ishapoteza amani na haitorudi kuwa kama enzi za nyerere ya Amani kweli.
 
Mkuu nilishangaa nikadhani ni fala albab kuangalia vizuri kumbe ni wewe GT. Kwasababu avatar yako imefanana na hili kimba albab

adriz de mbusii
 
Hivi ni kwanini watu hupenda kutumia neno "wazungu" ku - describe watu wa mataifa ya America na Ulaya? Kwani hakuna wasio wazungu waishio ktk mataifa hayo?

Nadhani the best way ni kutaja utaifa wa watu unaowaelezea toka ktk nchi zao: Mfano Wamerekani, Waingereza, Wareno, Wajerumani, Wachina, Wajapani nk
Neno Wazungu linawakilisha nchi nyingi za watu weupe ukiacha wachina na waarabu na nchi za Asia.

Kwahiyo mtu akisema wazungu anamaanisha wamarekani, nchi za ulaya, Uingereza.
 
Our instability was their actual goal! ... WHAT DO YOU EXPECT FROM THEM?
WE NEED A RUSSIAN MILITARY BASE TO HELP THEM GO!
 
Nchi ishapoteza amani na haitorudi kuwa kama enzi za nyerere ya Amani kweli.
Amani feki tuliyonayo ni kama ile ya juzi,

wote tumefungiwa ndani tumeambiwa hakuna kutoka mabarabara meupe, ndipo watawala wakaitangazia dunia eti Tanzania kuna amani.
 
View attachment 3514149

Tanzanians marked their Independence Day under lockdown, with heavy security, social media restrictions, and unsanctioned gatherings outlawed to stifle expected protests.

Recent deadly violence and this week's nationwide clampdown show Tanzania is neither stable nor a place where U.S. investment can thrive. This puts hundreds of American companies at risk and makes it clear the urgent need to review the bilateral relationship and U.S.-backed investments.

===

Mwenyekiti wa Kamati ya Seneti ya Mahusiano ya Kigeni

Watanzania waliadhimisha Siku yao ya Uhuru wakiwa wamefungiwa, huku ulinzi mkali, vizuizi vya mitandao ya kijamii na mikusanyiko isiyoidhinishwa ikiwa imeharamishwa kuzima maandamano yanayotarajiwa.

Vurugu mbaya za hivi majuzi na vikwazo vya wiki hii nchini kote vinaonyesha Tanzania si tulivu wala si mahali ambapo uwekezaji wa Marekani unaweza kustawi.

Hili huweka mamia ya makampuni ya Marekani hatarini na huweka wazi haja ya dharura ya kukagua uhusiano wa nchi mbili na uwekezaji unaoungwa mkono na Marekani.
Tangu lini uneanza kuwaamini hao jamaa?
 
Back
Top Bottom