PostGE2025 US Foreign Relations: Tanzania is neither stable nor a place where U.S. investment can thrive

PostGE2025 US Foreign Relations: Tanzania is neither stable nor a place where U.S. investment can thrive

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Tangu lini uneanza kuwaamini hao jamaa?
Wewe uliacha lini kuwaamini, wakati juzi tu Samia kamtuma balozi wetu kwenda Brussels kuwapigia magoti wazungu wasitunyime misaada.
 
Hivi ni kwanini watu hupenda kutumia neno "wazungu" ku - describe watu wa mataifa ya America na Ulaya? Kwani hakuna wasio wazungu waishio ktk mataifa hayo?

Nadhani the best way ni kutaja utaifa wa watu unaowaelezea toka ktk nchi zao: Mfano Wamerekani, Waingereza, Wareno, Wajerumani, Wachina, Wajapani nk
Mazoe tu mkuu
 
Kwahio wewe unaona rahisi kutaja nchi au utaifa wa karibu zote za EU badala ya kutumia neno moja Wazungu au Ulaya? Yaani mtu aanze kusema Germany,UK,France,Belgium,Holland,Luxembourg, Portugal,Spain etc badala ya kusema tu Ulaya au Wazungu?
 
Tukiachana na watawala watanzania kuzingua sanaaa, ila wazungu nao ni wanafiki sana, tuishi nao Kwa akili, sema ndio na watawala hawana akili ambao wameziweka kutuwakilisha
Kweli mkuu Wazungu ni kuishi nao kitapeli na usanii kuliko kutumia miguvu bila Akili, Wazungu kuwadanganya ili watoe pesa ni rahisi na wepesi wa kutoa pesa tena Wazungu kutoka Magharibi na Siyo Wazungu koko kutoka Mashariki na kusini.
 
Kwahio wewe unaona rahisi kutaja nchi au utaifa wa karibu zote za EU badala ya kutumia neno moja Wazungu au Ulaya? Yaani mtu aanze kusema Germany,UK,France,Belgium,Holland,Luxembourg, Portugal,Spain etc badala ya kusema tu Ulaya au Wazungu?
Mkuu huyo hajui Kama Tamadini zao Zinafanana % kubwa, ni sawa kwa Africa ni ngumu kuanza kutaja nchi moja moja Burundi, Congo, Kenya, Nigeria, Tanzania.
 
View attachment 3514149

Tanzanians marked their Independence Day under lockdown, with heavy security, social media restrictions, and unsanctioned gatherings outlawed to stifle expected protests.

Recent deadly violence and this week's nationwide clampdown show Tanzania is neither stable nor a place where U.S. investment can thrive. This puts hundreds of American companies at risk and makes it clear the urgent need to review the bilateral relationship and U.S.-backed investments.

===

Mwenyekiti wa Kamati ya Seneti ya Mahusiano ya Kigeni

Watanzania waliadhimisha Siku yao ya Uhuru wakiwa wamefungiwa, huku ulinzi mkali, vizuizi vya mitandao ya kijamii na mikusanyiko isiyoidhinishwa ikiwa imeharamishwa kuzima maandamano yanayotarajiwa.

Vurugu mbaya za hivi majuzi na vikwazo vya wiki hii nchini kote vinaonyesha Tanzania si tulivu wala si mahali ambapo uwekezaji wa Marekani unaweza kustawi.

Hili huweka mamia ya makampuni ya Marekani hatarini na huweka wazi haja ya dharura ya kukagua uhusiano wa nchi mbili na uwekezaji unaoungwa mkono na Marekani.

Kauli kama hii haiishi kwa Marekani pekee bali Dunia nzima ambako kuna watu makini. Tusitarajie kuwapata wawekezaji wa maana kutoka Taifa lolote. Tutabakia na wawejezaji waganga njaa toka China na Uarabuni, wale ambao watapenda kuitumia fursa ya kutengwa kwetu ili kujinufaisha.

Kuijenga nchi ni process ya muda mrefu sana na inayohitaji umakini wa hali ya juu, LAKINI kuiharibu, yawezekana hata kwa siku moja, bila ya kuhitaji hata maandalizi yoyote. Hata vile vitu vidogo tulivyokuwa tunajivunia kuwa tumefanikiwa, navyo vinaenda kupotea, kuporomoka au kutoendelea.

Laiti watawala wangekuwa wanalifikiria zaidi Taifa kuliko maslahi yao binafsi, huu ulikuwa ni wakati wa kurudi nyuma, kutafakari, kukiri tulipokosea, na kuanza upya; tungeweza kwenda mbele kwa speed kubwa kuliko hata mwanzo.
 
Kwahio wewe unaona rahisi kutaja nchi au utaifa wa karibu zote za EU badala ya kutumia neno moja Wazungu au Ulaya? Yaani mtu aanze kusema Germany,UK,France,Belgium,Holland,Luxembourg, Portugal,Spain etc badala ya kusema tu Ulaya au Wazungu?
Kweli Mkuu, yani uanze kusema Ujerumani imesema..... Ubeligiji.... imesema, Hispania imesema.... hadi utaje zote 27 badala ya kusema nchi za EU zimesitisha misaada. Simple.
 
Kwahio wewe unaona rahisi kutaja nchi au utaifa wa karibu zote za EU badala ya kutumia neno moja Wazungu au Ulaya? Yaani mtu aanze kusema Germany,UK,France,Belgium,Holland,Luxembourg, Portugal,Spain etc badala ya kusema tu Ulaya au Wazungu?
Kweli Mkuu, yani uanze kusema Ujerumani imesema..... Ubeligiji.... imesema, Hispania imesema.... hadi utaje zote 27 badala ya kusema nchi za EU zimesitisha misaada. Simple.
 
Hivi ni kwanini watu hupenda kutumia neno "wazungu" ku - describe watu wa mataifa ya America na Ulaya? Kwani hakuna wasio wazungu waishio ktk mataifa hayo?

Nadhani the best way ni kutaja utaifa wa watu unaowaelezea toka ktk nchi zao: Mfano Wamerekani, Waingereza, Wareno, Wajerumani, Wachina, Wajapani nk

Neno Wazungu linawakilisha nchi nyingi za watu weupe ukiacha wachina na waarabu na nchi za Asia.

Kwahiyo mtu akisema wazungu anamaanisha wamarekani, nchi za ulaya, Uingereza.
Siasa za hovyo za Tanzania ndiyo zilizalisha hilo jina la "wazungu" ambalo ukifikiria vizuri ni la kibaguzi na halina mantiki yoyote.
 
Back
Top Bottom