Wewe na nani?Aisee safari hii tutapata tabu sana.
Walipa kodi ambao nchi yao inatengwa na matajiri wa dunia, Marekani.Wewe na nani?
Watu kama hao mimi huwa hawanisumbui, wanamtumikia mtu badala ya kulitumikia taifa.Alafu Kuna mtu anaanzisha nyuzi anakuambia "Kiko wapi mbona hamjaandamana?"
Mwingine "Mama anakuja kuwashukuru kwa utulivu mliounyesha kwa kukataa fujo"
Fujo Gani?
Nani alisema ataleta fujo?
Na kwanini unifungie ndani hata nikitoka nje naambiwa rudi ndani kisha baadae unipongeze?
Kwanza Kwanini siku ya uhuru unifungie ndani nisitokee kusherekea uhuru?
U.S. wapo sahihi 100% nchi ishakuwa ya hovyo hii.
Alifikiri kuwahonga mradi wa LNG kutawanyamazisha.Nilisema,unakutana nao mnaongea halafu kesho unakula spana.
Balozi alikutana na Mkulu 8/12/2025,siku tatu baadae waraka!!
Maneno hayatoshi njoo na manowari na midege mfanyekaziView attachment 3514149
Tanzanians marked their Independence Day under lockdown, with heavy security, social media restrictions, and unsanctioned gatherings outlawed to stifle expected protests.
Recent deadly violence and this week's nationwide clampdown show Tanzania is neither stable nor a place where U.S. investment can thrive. This puts hundreds of American companies at risk and makes it clear the urgent need to review the bilateral relationship and U.S.-backed investments.
===
Mwenyekiti wa Kamati ya Seneti ya Mahusiano ya Kigeni
Watanzania waliadhimisha Siku yao ya Uhuru wakiwa wamefungiwa, huku ulinzi mkali, vizuizi vya mitandao ya kijamii na mikusanyiko isiyoidhinishwa ikiwa imeharamishwa kuzima maandamano yanayotarajiwa.
Vurugu mbaya za hivi majuzi na vikwazo vya wiki hii nchini kote vinaonyesha Tanzania si tulivu wala si mahali ambapo uwekezaji wa Marekani unaweza kustawi.
Hili huweka mamia ya makampuni ya Marekani hatarini na huweka wazi haja ya dharura ya kukagua uhusiano wa nchi mbili na uwekezaji unaoungwa mkono na Marekani.
Tanzania ni nchi ndogo sana kiuwezo siyo ya kuletea manuari ni ya vikwazo tu.Maneno hayatoshi njoo na manowari na midege mfanyekazi
Hivi ni kwanini watu hupenda kutumia neno "wazungu" ku - describe watu wa mataifa ya America na Ulaya? Kwani hakuna wasio wazungu waishio ktk mataifa hayo?Tukiachana na watawala watanzania kuzingua sanaaa, ila wazungu nao ni wanafiki sana, tuishi nao Kwa akili, sema ndio na watawala hawana akili ambao wameziweka kutuwakilisha
Nchi ishapoteza amani na haitorudi kuwa kama enzi za nyerere ya Amani kweli.Alafu Kuna mtu anaanzisha nyuzi anakuambia "Kiko wapi mbona hamjaandamana?"
Mwingine "Mama anakuja kuwashukuru kwa utulivu mliounyesha kwa kukataa fujo"
Fujo Gani?
Nani alisema ataleta fujo?
Na kwanini unifungie ndani hata nikitoka nje naambiwa rudi ndani kisha baadae unipongeze?
Kwanza Kwanini siku ya uhuru unifungie ndani nisitokee kusherekea uhuru?
U.S. wapo sahihi 100% nchi ishakuwa ya hovyo hii.
Mkuu nilishangaa nikadhani ni fala albab kuangalia vizuri kumbe ni wewe GT. Kwasababu avatar yako imefanana na hili kimba albabAlafu Kuna mtu anaanzisha nyuzi anakuambia "Kiko wapi mbona hamjaandamana?"
Mwingine "Mama anakuja kuwashukuru kwa utulivu mliounyesha kwa kukataa fujo"
Fujo Gani?
Nani alisema ataleta fujo?
Na kwanini unifungie ndani hata nikitoka nje naambiwa rudi ndani kisha baadae unipongeze?
Kwanza Kwanini siku ya uhuru unifungie ndani nisitokee kusherekea uhuru?
U.S. wapo sahihi 100% nchi ishakuwa ya hovyo hii.
Neno Wazungu linawakilisha nchi nyingi za watu weupe ukiacha wachina na waarabu na nchi za Asia.Hivi ni kwanini watu hupenda kutumia neno "wazungu" ku - describe watu wa mataifa ya America na Ulaya? Kwani hakuna wasio wazungu waishio ktk mataifa hayo?
Nadhani the best way ni kutaja utaifa wa watu unaowaelezea toka ktk nchi zao: Mfano Wamerekani, Waingereza, Wareno, Wajerumani, Wachina, Wajapani nk
Amani feki tuliyonayo ni kama ile ya juzi,Nchi ishapoteza amani na haitorudi kuwa kama enzi za nyerere ya Amani kweli.
Tangu lini uneanza kuwaamini hao jamaa?View attachment 3514149