US Gendermerie 1 - 1 Simba Sc| CAF Confederation Cup | Stade General Seyni Kountche

Mbona Azam sijaona ratiba ya kuonesha hii mechi??
Wana mambo ya kifala sana hawa jamaa, ukiwaona unaweza dhani wapo serious kumbe hovyo tu, tuliopo nchi ya jirani tu hapa UG mpira ukianza tunakatiwa matangazo na hatuoni mpaka mechi inaisha. Sijui wanamaanisha nini mbuzi hawa.
 
[emoji23] ZBC 2 wapo hewani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…