Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpira umeokolewa vizuri kabisa badala atoe pasi anang'ang'ana kupiga chenga za kijinga, hili goal timefungwa goli la kijinga sana.kanoute ni Jinga
Afu anakaba kama kala ulojokanoute ni Jinga
Huu mnaofanya wana yanga ni zaidi ya ufala, Simba ana wakilisha nchi, akishinda Simba imeshinda Tanzania. Utani ubakie ligi kuu na FA au mapinduzi. Linapokuja swala la kimataifa sote tuwe wamoja kumuombea muwakilishi wetu na sio ufala mnaoufanya. Badilikeni pumbavWoyoooo piga hao Makolo
Huyu ni kiazi sana na sijawahi kabisa kumkubali, ngoja mwenye namba yake apone tuone.Afu anakaba kama kala ulojo
Hata sisi hatitaki kushabikiwa na Uto.Huu mnaofanya wana yanga ni zaidi ya ufala, Simba ana wakilisha nchi, akishinda Simba imeshinda Tanzania. Utani ubakie ligi kuu na FA au mapinduzi. Linapokuja swala la kimataifa sote tuwe wamoja kumuombea muwakilishi wetu na sio ufala mnaoufanya. Badilikeni pumbav