Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #101
Ila hii pichi kama ya Gwambina Complex
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tayari simba ameshakaa.Kuna Watu Wachoyo Sana Hata Kwa Taarifa.
Ngapi Ngapi Huko?
Waombee wanaume wako washinde.Kuna Watu Wachoyo Sana Hata Kwa Taarifa.
Ngapi Ngapi Huko?
Hawa USGN wana makosa mengi sana, simba ingetumia makisa yao effectively saizi tungekuwa mbele yao kimabao
Naunga mkono hojaMhilu ni wa kuanzia benchi.
Mhilu si wa kuanza mechi, hivi Mkude na Mzamiru kwanini hawapo leo?Mhilu hana pressing ya kutosha atoke mapema
Huo uwezo wa kutumia hayo makosa upo?Hawa USGN wana makosa mengi sana, simba ingetumia makosa yao effectively saizi tungekuwa mbele yao kimabao
Simba anatumia winga na Mhilu yupo tu hana msaada na ubunifu ni F naona anamchosha KapombeYaani pengo la chama linaonekana kabisaa, amekosekana mtu mwenye utulivu pale kwenye kiungo
Uchoyo wa kila mtu kutaka sifa ya kufunga ndio unatugharimu.Hawa USGN wana makosa mengi sana, simba ingetumia makosa yao effectively saizi tungekuwa mbele yao kimabao
Upo ndio, sema tu wachezaji wame relax sanaHuo uwezo wa kutumia hayo makosa upo?