Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Adebayor Ooooh Mpira Unaelekea Nje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani mkuu we acha tu, kinachofanyika huko uwanjani mi mqenyewe sikielewiKila Siku Wamerelax Nini Tatizo?
Ila mechi hii hatufungwiAdebayor Ooooh Mpira Unaelekea Nje
Acha wapigeUSGN Wanapiga Corner Nyingine
Hamia AzamDstv michosho
Goli limerahisishwa na KanouteZimbwe huwa hana speed hii mechi hakutakiwa kabisa kupanda juu.Huuyo winga hata weza kumzuia kama atalazimusha kupanda juu.
Sasahivi anawapa mzigo tu wenzake maana hata goli la kwanza limeanzia kwake baada ya kushindwa kumdhibiti huyo Adebayor, anapanda halafu msako anaachwa nyuma.