US Gendermerie 1 - 1 Simba Sc| CAF Confederation Cup | Stade General Seyni Kountche

US Gendermerie 1 - 1 Simba Sc| CAF Confederation Cup | Stade General Seyni Kountche

Mabeki wa Simba wajichunge sana huyu Adebayor anatafuta penati kwa udi na uvumba
 
Huyu zimbwe anang'ang'ana kupanda mbele kwanini?? Hiyu Adebayor ni jukumu lake lakina anapanda mbele wakati mbio za kumdhibiti hana.

Anawatesa mabeki wenzake huyo dogo.
 
Back
Top Bottom