Kanali G
JF-Expert Member
- Oct 21, 2013
- 9,898
- 14,413
Wakicheza na Dar City huwa mnawajaza upepo wa kijingaKanoute anacheza slow sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakicheza na Dar City huwa mnawajaza upepo wa kijingaKanoute anacheza slow sana
Viazi kabisa.Ila kiungo cha Nyoni na Kanoutr hapana aiseee
Dakika mbili zimeongezwa45'
USGN 1 - 0 Simba SC
Imerudi.Dstv imefakisha huku, nategemea update kupitia nyinyi wadau
Hili jina limekaa kama UsengeniUSGN wanapata freekick, na mpigaji ni Adebayor
Visingizio againHawa jamaa ni wabovu ni vile tu pitch nayo ina manundu manundu ila hamna timu hapa