US Gendermerie 1 - 1 Simba Sc| CAF Confederation Cup | Stade General Seyni Kountche

Ila mechi hii hatufungwi
Mkiendelea Na Hali Hii Mliyonayo Ya Kujivuta Mnapoteza Vizuri Tu.

Staiker Wenu Ni Butu Ili Mshinde Mnatakiwa M-create Nafasi Nyingi Ili Mpate Magoli.

Mkitengeneza Chance Chache Unafahamu Vizuri Status Ya Striker Wako Ilivyo Kwa Sasa.
 
Itakuwa ujinga kama kipindi cha pili wakarudi na plan ile ile waliyoanza nayo

Kocha hawezi kuwa mzembe kiwango hicho

Sema wametupa kibarua cha kuwapiga goli 2
 
Pia Hata Wapinzani Wako Wanaweza Kurudi Tofauti Na Kipindi Cha Kwanza.

Hicho Kibarua Cha Timu Yako Kupata Hizo Goal 2 Basi Midfielder Wako Watengeneze Chance Zisizopungua 5.
 
Back
Top Bottom