Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wakirudi kipindi cha pili bado hawatakuwa na spirit ya kushinda zaidi ya kufanya mashambulizi kidogo na kulinda ushindiPia Hata Wapinzani Wako Wanaweza Kurudi Tofauti Na Kipindi Cha Kwanza.
Hicho Kibarua Cha Timu Yako Kupata Hizo Goal 2 Basi Midfielder Wako Watengeneze Chance Zisizopungua 5.
Duh!...Hawa waniger ndio pisi kali wa hili kundi, tusipojipigia hapa nje ndani tutajiweka katika mazingira magumu ya kufuzu 1/4 fainali.
Zimbwe Akijisahau Adebayor Naona Atawasumbua Hata Anaweza Sababisha Penalty/Goal Kabisa.Hata wakirudi kipindi cha pili bado hawatakuwa na spirit ya kushinda zaidi ya kufanya mashambulizi kidogo na kulinda ushindi
Simba kaishafungwa, akija kipimdi cha pili hawezi kubaki nyuma kwasababu kaishapoteza so lazima aji sacrifice
Upo sahihi kabisa....Simba wawe makini kutengeneza nafasi na kuzitumia.Hii gendamarie ni timu ya kawaida sana naona namna wanavyocheza awana ubora kwenye umiliki wa mpira alafu defence yao inapwaya sana, Simba wakishindwa kupata point hapa wajilaumu wenyewe