kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Simba anapata Kona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchawi unalipa mkuu maana mpaka sasa mmekula Cha NguruweHuo Uchawi Utakuisha Simba Tutashinda
Acha kubana unajiumiza tu ewe gongo-open hawa wanasumbua tu mahakama kifungo watakipata.Simba SC Kama Wamerudi Kwa Hali Ya Juu Sana
Nikweli ila siyo kwenye majiMpira ni dakika 90 mkuu
Acha kubana unajiumiza tu ewe gongo-open hawa wanasumbua tu mahakama kifungo watakipata.
😂😂😂Wanafanyaje unasema?Acha kubana unajiumiza tu ewe gongo-open hawa wanasumbua tu mahakama kifungo watakipata.
Mwehu? wale mawinga na washambuliaji waliomo wanamzidi nini? Umesahau alivyoibeba Simba mbele ya wale Reds wa Zambia?Huyo mwehu wa nini
Nimefurahi sana ameingia Wawa,maana yupo vizuri sana😂Upigaji wa pasi nao ni tatizo kwa Simba