US General: Hatuna silaha kuilinda Israel bora tujilinde wenyewe

πŸ™†β€β™‚οΈπŸ™…β€β™‚οΈ
 
Pro America watakuambia huo ni mtego TU wa danganya toto, ili mtu aingie mazima ajichanganye amalizwe.
Watakuambia hakuna watu wanatumia akili hapa duniani kama wamarekani.
Hahaha ni kweli mijinga sana hayataki kukubali USA kisha shindwa vita na Iran anatafuta njia ya kuficha aibu zake kesho utasikia Gulf states ndio waliye mzuia asipige Iran leo wamedai Iran kaomba poa Iran kawajibu sijawahi kuomba poa mimi na sita omba poa na USA hata siku moja ni lazima akubali masharti ya Iran akitaka yaishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…