US honours Kilango

US honours Kilango

Keil

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2007
Posts
2,214
Reaction score
804
US honours Kilango

DAILY NEWS Reporter, 26th March 2009 @ 10:39

The United States embassy today awarded Member of Parliament for Same East constituency in Kilimanjaro Region, Mrs Anne Kilango Malecela, the 2009 Tanzanian Woman of Courage Award.

According to a statement from the US Embassy, the annual award was established to recognize women who have shown exceptional courage and leadership.

The US Mission in Tanzania also nominated Mrs Malecela as this years candidate for the 2009 International Women of Courage Award for distinguishing herself by challenging the leadership in her own party to confront the question of corruption.

In doing so, she broke from the political custom despite facing personal threats to her own safety. She persevered in her determination to fight corruption and asked tough questions that contributed to advance efforts of transparency and good governance within the ruling party," reads part of the statement.

**********************************************

Hata kama ana mapungufu mengine, lakini kwa jinsi nilivyoshuhudia akimkoma nyani kwenye mjadala wa Kamati ya Mwakyembe, alionyesha wazi kwamba alikuwa tayari kwa lolote. Kwa maoni yangu, ninadhani kwamba anastahili tunu hiyo.

Ni akina mama wachache, hasa kutoka Chama Tawala ambao wanaweza kuongea kwa confidence kama aliyoionyesha siku hiyo. Nadhani ndiyo maana amekataa hoja ya Dowans isipelekwe kwa wabunge wa CCM maana kuna mazingaombwe yanaweza kuchezwa na hasa kwa kuhofia ile imani yao kwamba maslahi ya chama kwanza.

Na hivyo akasisitiza kwamba kama wanataka mjadala wa Dowans waurudishe Bungeni na siyo kwa wabunge wa CCM tu.
 
It is good thing that the Embassy have given her an award, women activists should recorgnize her somehow. What a woman! "Patakuwa hapakali humu ndani". She deserve it.
 
Jamani je Bungeni patatosha tena? Sii patakuwa padogo?

Kudos Mama!
 
Last edited:
Ni kweli nakubali kwamba alistahili tuzo hii si yeye pekee lakini namkumbuka na mama mmoja wa SISI M anaitwa mama Shelukindo alisema pia kupata vitisho. Kumbe nakubali wakina mama wa SISI M wana courage kubwa na wako tayari kwa lolote lakini ufisadi No. Wakina baba je?...........
 
Jamani je Bungeni patatosha tena? Sii patakuwa padogo?

Kudos Mama!

Unajua ni vitu vidogovidogo kama hivi, vinavyomuhakikishia mtu kwamba anachosema kinamaana. So yes, bunge halitatosha. Naomba ajidai na shahada yake, na impe nguvu kutembea kifua mbele.
 
Hizi Tuzo zingine bana!! Uzushi tu Mwaka jana alipata nani vile? ama imeanza mwaka huu?

Hongera mama Anne Kilango-Malecela
 
Hizi Tuzo zingine bana!! Uzushi tu Mwaka jana alipata nani vile? ama imeanza mwaka huu?

Tumpe hongera tu mama! kapata TUZO kwa watu waliona inafaa, hata kama tunaona sio ya thamani. Kama hatujaridhika nayo! JamiiForum impe tuzo yake.
 
Hizi Tuzo zingine bana!! Uzushi tu Mwaka jana alipata nani vile? ama imeanza mwaka huu?

Hongera mama Anne Kilango-Malecela

- Mkulu Masa toa heshima kwa mama bro, saafi sana she deserves it bwa! ha! ha! Here we go again wallahi hapatakaliaka bungeni!

FMES!
 
Rusha roho itahamia bungeni sio, nilidhani atajivunia heshima hiyo na wanawake wenzie kumbe atawasimamisha wenzie wasikae. Salaaaale!
 
- Mkulu Masa toa heshima kwa mama bro, saafi sana she deserves it bwa! ha! ha! Here we go again wallahi hapatakaliaka bungeni!

FMES!

Habari za holiday friend. Si uliaga kuwa hutakuja tena unapumzika kuandikia JF? Si kwamba nakufukuza, hapana nimeshangaa kukuona tena hapa wakati ulituaga vizuri tu na kwa kuwa tulikuwa tunakupenda hasa kwa datas, wengi wetu machozi yalibubujika kama si kulia!
Teh teh teh teh eheheheheheh. Kweli hapa JF tunakuwa addicted.
Karibu tena brother.
 
Anastahili hongera. Ana exceptional courage. Big contrast with Mzee JSM.
 
Habari za holiday friend. Si uliaga kuwa hutakuja tena unapumzika kuandikia JF? Si kwamba nakufukuza, hapana nimeshangaa kukuona tena hapa wakati ulituaga vizuri tu na kwa kuwa tulikuwa tunakupenda hasa kwa datas, wengi wetu machozi yalibubujika kama si kulia!
Teh teh teh teh eheheheheheh. Kweli hapa JF tunakuwa addicted.
Karibu tena brother.

- Mkuu heshima mbele, hii si demokrasia au? unaweza kutoka ukarudi, ukalia ukacheka, ukalala ukaamka au nimevunja sheria yoyote hapa kwa kuaga na kurudi, na kuaga na kurudi mkuu?

- au unanifukuza? Bwa! ha! ha! mkuu ndio uzuri wa demokrasia as long as huvunji sheria, you can be anyhting you want!

- anyways jioni leo nitakua Iowa tuonane au?

FMEs!
 
Hating Lowassa for the wrong reasons is just like hating him for the reasons that we hate him and not kwasababu mtandao uliwapiga chaka yeye na tingatinga.. But as they say, the enemy of my enemy is my friend [never my leader]... on that basis hongera mama albeit U dnt give a toss about Watanzania... lol
 
Hongera mama,unawatia moyo wengine walau wa kujaribu kusema japo si kutenda kwani wakati mwingine,watendaji sio wasemaji na kinyume chake ni sawa.
Mwisho,wengi wame/wanampongeza MAMA,JE NI KWASABABU ANASTAHILI TUZO YA NAMNA HIYO AU KWA KUWA IMETOLEWA NA US EMBASSY?
Naomba kuwasilisha...
 
Hongera Mama Kilango...Daima mbele nyuma mwiko,maslahi ya Taifa kwanza itikadi baadaye.
 
Back
Top Bottom