US honours Kilango

US honours Kilango

safi sana mama anne k. wembe ule ule mkianza kikao kingine. maslahi ya tz mbele. tz first

wengine wanaogopa kuonyesha wako upande gani hata kama wako upande wa watz walio wengi. kisa? watachukiwa na mafisadi na hivyo mambo yao hayataenda vizuri mbeleni

wanajiangalia na kujijali wenyewe kwanza kabla hawajawaangalia na kuwajali walio watuma waende kule dodoma
 
- Ahongereke na Mungu ampe nguvu zaidi myfriend Mama Anne kilango, zawadi hiyo ni muhimu sana kwake na kwetu wananchi pia.

Ahsante.



William.
 
Mwisho,wengi wame/wanampongeza MAMA,JE NI KWASABABU ANASTAHILI TUZO YA NAMNA HIYO AU KWA KUWA IMETOLEWA NA US EMBASSY?
Naomba kuwasilisha...

That woman deserve that TUZO period in whatever form it may be. No if no buts, she deserve it. The courage to stand in the house and fight corruption should not be taken lightly. If we failed to see it as locals, let be glad someone else did. Now, start questioning our appreciation weather is because of the giver or the actor it is dehumanizing. I am personally, clear, when i say congratulation Anne, i mean her courage to speak her mind, not only as a citizen, but more critically as a woman. Go mama's!
 
- Sometimes it takes a foreigner kuona ukweli, kuliko mwenyeji.
Hapana bana!! waswahili husema: Mtu shurti usifiwe kabla hujasifika!!
charity always begins at home mkuu, na sidhani kama wale wanachama Milioni nne wa Chiligati wataifurahia hii.
 
W.J. Malecela,
Mkuu hakuna cha Foreigner, sisi ndio roho mbaya, roho ya kimaskini imefunga hata fahamu zetu kuweza kuona yaliyo bayana..
Ebu fikiria la mwakyembe kjweli kulikuwa na haja ya mzungu azungumze kuhusiana na Moitambo ya Dowans?..lakini kwa Wabongo tumeshindwa kuona ubaya wa mitambo hiyo tumetafuta MTU na kumfanya hoja..
Mama Kilango kila siku hupigwa madongo humu kwa sababu tu ni mwanamke na mke wa Malecela ambaye ni makamu Mwenyekiti wa CCM..sifa hawezi kupewa na Mdanganyika hata siku moja labda avae ngozi nyeupe..
 
Huyu mama watampa uwaziri angalau basi kumfunga mdomo..tusubiri reshufle nyingine!
 
I just love the masses as they are called for their opinion puts people in power, ironically the masses are easily swayed.. That in mind, I think politics is a great sport.. lol
 
Unajua ni vitu vidogovidogo kama hivi, vinavyomuhakikishia mtu kwamba anachosema kinamaana. So yes, bunge halitatosha. Naomba ajidai na shahada yake, na impe nguvu kutembea kifua mbele.

Naam hata sisi hapa JF tunaweza kabisa kujipigapiga na kutoa tuzo yetu kwa Wabunge makini ambao siku zote wanaweka mbele maslahi ya Taifa badala ya vyama vyao. Dr Slaa na Mama Kilango wanastahili tuzo hiyo. Sasa tujadili namna ya kujikusanya ili tuwapatie tuzo hiyo wote wawili maana itazidi kuwapa motisha kwamba kumbe kuna watu wanajali na kuheshimu michango yao ndani ya bunge. Labda tuzo hiyo inaweza kuwa ni $500 kwa kila mmoja wao au hata $1,000. YES WE CAN. Hongera sana Mama Kilango.
 
viva mama malecela Ana malecela killango, safari bado ni ndefu, ukumbuke kuwa tuzo hii itakuongezea maadui hasa mafisadi, na wenye wivu

jitahidi kujinasua kwa kuongeza mapambano ili ujipambanue na hao mafisadi, ni vema associations na ngo nyingine zikafikiria pia kutoa tuzo za namna hii.
 
Kwa hapa mama nakupongeza, kwakweli umeonyesha ushujaa wa kipekee, na hasa kwa wezangu na mie ambao huwa tunadhani dada/mama zetu hawawezi... oh yes they can!
 
FM

Just this morning TBC taifa wamemuhoji kaulizwa swali hilo.....Hakukataa!!! alikuwa very political...!!!

- Mkulu wangu kweli unaamini angetaka uwaziri asingekua nao leo? Kweli unaamini hilo? Uwaziri alikuwa nao hawara itakuwa huyu mke?

FMES!
 
Hongera mama Kilango. Tumia hiyo nafasi ili kuongeza mapambano hapo bungeni na kule jimboni.
 
Wakulu Bangusule, Uwiano, Mag3, na Capo Kuhani njooni kuno tum-celebrate mama yetu wakuu with all due respect! Bwa! ha! ha! ha!




© Michuzi | Friday, March 27, 2009 | Permalink | Mtumie Rafiki Yako |


Maoni: 6

Tarehe March 27, 2009 2:54 AM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous

ANASTAHILI,MAMA JASIRI SANA HUYU,KEEP IT UP ANNA, TANZANIA NEED STRONG PEOPLE LIKE YOU!

*
Tarehe March 27, 2009 5:10 AM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous

Congratulations!!You are an amazingly strong and successful woman.

*

Tarehe March 27, 2009 7:42 AM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous

Hii ni haki yako kupata hiyo tuzo, lakini tunaomba isiwe nguvu ya soda, kwani `vikao vya pembeni' huwa vinawamalizaga nguvu. Juweni kuwa mumepewa dhamana, na hiyo mtaulizwa kwa Mungu, kuwa mliisaidiaje jamii.
Kula kura uliyopata itakusuta, wapo ambao tangu wachaguliwe hawajafanya lolote, wanasubiri uchaguzi ujao waje kudanganya tena. Sawa tudanganye sisi lakini Mungu anawaona
M3

*

Tarehe March 27, 2009 8:20 AM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous

Anna Kilango ni mwanamama jasiri,na hana woga; yaani Tanzania ingekuwa na viongozi 10 tu wa aina hii, siyo bungeni tu hata katika baraza la mawaziri maana ndo watekelezaji wenyewe wa sera, jamani tungekuwa mbali.Big up Anna! you're my number 1, Mungu azidi kukubariki usirudi nyuma.

*

Tarehe March 27, 2009 10:45 AM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous

Hongera sana mama, sisi tunaofuatilia uwajibikaji wako, atukushangaa kusikia hivyo. umekuwa mama jasili na daima umejitoa kwa nguvu zako zote kuitetea nchi yako. na kama awatakuwekea magogo,na kurudi nyuma basi tegemea mengi mazuri.

*

Tarehe March 27, 2009 10:45 AM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous

Hongera sana mama, sisi tunaofuatilia uwajibikaji wako, atukushangaa kusikia hivyo. umekuwa mama jasili na daima umejitoa kwa nguvu zako zote kuitetea nchi yako. na kama awatakuwekea magogo,na kurudi nyuma basi tegemea mengi mazuri.
 
- Mkulu wangu kweli unaamini angetaka uwaziri asingekua nao leo? Kweli unaamini hilo? Uwaziri alikuwa nao hawara itakuwa huyu mke?

FMES!

Kwi kwi kwi kwi!!! wewe FMES umenichekesha kweli mkuu, yaani sina hamu.

Naona ujumbe umefika hasa!
 
Back
Top Bottom