© Michuzi | Friday, March 27, 2009 | Permalink | Mtumie Rafiki Yako |
Maoni: 6
Tarehe March 27, 2009 2:54 AM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous
ANASTAHILI,MAMA JASIRI SANA HUYU,KEEP IT UP ANNA, TANZANIA NEED STRONG PEOPLE LIKE YOU!
*
Tarehe March 27, 2009 5:10 AM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous
Congratulations!!You are an amazingly strong and successful woman.
*
Tarehe March 27, 2009 7:42 AM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous
Hii ni haki yako kupata hiyo tuzo, lakini tunaomba isiwe nguvu ya soda, kwani `vikao vya pembeni' huwa vinawamalizaga nguvu. Juweni kuwa mumepewa dhamana, na hiyo mtaulizwa kwa Mungu, kuwa mliisaidiaje jamii.
Kula kura uliyopata itakusuta, wapo ambao tangu wachaguliwe hawajafanya lolote, wanasubiri uchaguzi ujao waje kudanganya tena. Sawa tudanganye sisi lakini Mungu anawaona
M3
*
Tarehe March 27, 2009 8:20 AM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous
Anna Kilango ni mwanamama jasiri,na hana woga; yaani Tanzania ingekuwa na viongozi 10 tu wa aina hii, siyo bungeni tu hata katika baraza la mawaziri maana ndo watekelezaji wenyewe wa sera, jamani tungekuwa mbali.Big up Anna! you're my number 1, Mungu azidi kukubariki usirudi nyuma.
*
Tarehe March 27, 2009 10:45 AM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous
Hongera sana mama, sisi tunaofuatilia uwajibikaji wako, atukushangaa kusikia hivyo. umekuwa mama jasili na daima umejitoa kwa nguvu zako zote kuitetea nchi yako. na kama awatakuwekea magogo,na kurudi nyuma basi tegemea mengi mazuri.