US kutoshiriki mikutano ya G20 kama Russia atashiriki, Biden aliomba Russia itolewe

US kutoshiriki mikutano ya G20 kama Russia atashiriki, Biden aliomba Russia itolewe

Hakuna chochote!! Anaogopa macho ya Putin!! Alivyomwandama ataanzaje kumpa mkono hata ule wa unafiki?
unakichwa kizito Sana mkuu utambue kwamba Us wanataka Putin abanwe au atengwe na kila taasisi ,hivyo G20 Kama wanauwezo wajichepetue wawe nae
 
unakichwa kizito Sana mkuu utambue kwamba Us wanataka Putin abanwe au atengwe na kila taasisi ,hivyo G20 Kama wanauwezo wajichepetue wawe nae
Kumtenga RUSSIA hilo sahau
Watamtenga kwenye taasisi zakawaida ila zile taasisi mhim sana hawatajaribu yaani
 
Heheee
Watu wamemuekea vikwazo wanaona mwamba kagangamaa
Wanaona sasa bora wamsusie tuuu maana hawana lakumfanya
PUT IN sio MUGABE
hata hajamaliza miez 6 unasema anagangamaa?
Wewe utakuwa unaushabiki bila kufikiri.

UN.
SHRKA LA HAKI ZA BINADAMU.
G20.

Madhara ni makubwa huwezi kuyaona. Huwezi kutengwa na dunia bado ukajiona mwamba ni suala la muda tuu.
 
Hakuna chochote!! Anaogopa macho ya Putin!! Alivyomwandama ataanzaje kumpa mkono hata ule wa unafiki?
wee jamaa kichwa sana.
ukizingatia mitusi aliyomtukana, lazima akimbie kikao. hahahaha
 
Wadau hii imekaaje Waziri huyu Bibi Janet Yellen anasema US haitashiriki mikutano ya G20 kama Russia atashiriki, naomba athari za Russia kutoshiriki G20 maana huyu jamaa naona anabanwa kila anapochomoza pua.

Naomba kutanguliza shukurani

View attachment 2180399
Marekani anamuogopa sana Murusi halafu kumbuka ndani ya USA Kuna warusi wengi sana ambao wengine ni Spies
 
hata hajamaliza miez 6 unasema anagangamaa?
Wewe utakuwa unaushabiki bila kufikiri.

UN.
SHRKA LA HAKI ZA BINADAMU.
G20.

Madhara ni makubwa huwezi kuyaona. Huwezi kutengwa na dunia bado ukajiona mwamba ni suala la muda tuu.
Unataka kusema ni mara ya mwanzo kutengwa kwa Urusi? Tokea 2012 Russia haikua chini ya vikwazo? Walivimudu vipi hadi kutokea kwa vikwazo hv vipya?
 
Rais wa Ufaransa ka-withdraw Sanctions against Urusi
😄😄 Huyu lazima afanye hivyo maana uchaguzi mkuu ndio huo unakaribia nchini kwake na gharama za Maisha zimepanda kichizi.Lazima wapiga kura wamle kichwa.
 
G20 bila US, UK, Canada, France, Germany, Japan, Italy na South Korea ni kituko.
 
Biden anaogopa kukutana na Putin ana kwa ana,,anaogopa kuzabwa vibao na Putin....wakati yupo poland alimtukana putin matusi ya nguoni akijua analindwa na wanajeshi wa nato.. huku akisahau kuwa kuna siku watakutana live
 
Back
Top Bottom