kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
unakichwa kizito Sana mkuu utambue kwamba Us wanataka Putin abanwe au atengwe na kila taasisi ,hivyo G20 Kama wanauwezo wajichepetue wawe naeHakuna chochote!! Anaogopa macho ya Putin!! Alivyomwandama ataanzaje kumpa mkono hata ule wa unafiki?
Kumtenga RUSSIA hilo sahauunakichwa kizito Sana mkuu utambue kwamba Us wanataka Putin abanwe au atengwe na kila taasisi ,hivyo G20 Kama wanauwezo wajichepetue wawe nae
hata hajamaliza miez 6 unasema anagangamaa?Heheee
Watu wamemuekea vikwazo wanaona mwamba kagangamaa
Wanaona sasa bora wamsusie tuuu maana hawana lakumfanya
PUT IN sio MUGABE
Hatari sanaNrusi ntu nbadi chana bwana weweee bahh!!!!!
wee jamaa kichwa sana.Hakuna chochote!! Anaogopa macho ya Putin!! Alivyomwandama ataanzaje kumpa mkono hata ule wa unafiki?
Marekani anamuogopa sana Murusi halafu kumbuka ndani ya USA Kuna warusi wengi sana ambao wengine ni SpiesWadau hii imekaaje Waziri huyu Bibi Janet Yellen anasema US haitashiriki mikutano ya G20 kama Russia atashiriki, naomba athari za Russia kutoshiriki G20 maana huyu jamaa naona anabanwa kila anapochomoza pua.
Naomba kutanguliza shukurani
View attachment 2180399
Mimi napenda nchi ikiongozwa na jasusi hawa jamaa ni wazalendo sana wapo tayari kufa kutetea nchi zaoMwamba Putin mzee wa Judo atanipigia Biden mpk ile diaper anayovaa ichomoke.View attachment 2180557
NeverPutin anadondoka hana mda mrefu sana.
Rais wa Ufaransa ka-withdraw Sanctions against UrusiHeheee
Watu wamemuekea vikwazo wanaona mwamba kagangamaa
Wanaona sasa bora wamsusie tuuu maana hawana lakumfanya
PUT IN sio MUGABE
Rais wa Ufaransa ka-withdraw Sanctions against UrusiPutin anadondoka hana mda mrefu sana.
Unataka kusema ni mara ya mwanzo kutengwa kwa Urusi? Tokea 2012 Russia haikua chini ya vikwazo? Walivimudu vipi hadi kutokea kwa vikwazo hv vipya?hata hajamaliza miez 6 unasema anagangamaa?
Wewe utakuwa unaushabiki bila kufikiri.
UN.
SHRKA LA HAKI ZA BINADAMU.
G20.
Madhara ni makubwa huwezi kuyaona. Huwezi kutengwa na dunia bado ukajiona mwamba ni suala la muda tuu.
😄😄 Huyu lazima afanye hivyo maana uchaguzi mkuu ndio huo unakaribia nchini kwake na gharama za Maisha zimepanda kichizi.Lazima wapiga kura wamle kichwa.Rais wa Ufaransa ka-withdraw Sanctions against Urusi
Sana ni nbadi na ndiyo maana yupo Ikulu ya Kyiv na Zelensiky amekimbia [emoji846]Nrusi ntu nbadi chana bwana weweee bahh!!!!!
Sasa bila US kuna kikao cha G20? Au unapiga porojo tu hapaSusa susa susa
Bila US hakuna hicho kikao,Russia hatohudhuriaMashoga Wanasusia kikao sasa,Itikadi za Kike kususa,Warume wa Ndima ukisusa Wanakula.
Afanye mwenyewe kama yeye pekee ndio G20Sasa bila US kuna kikao cha G20? Au unapiga porojo tu hapa
Hicho kikao cha MashogaBila US hakuna hicho kikao,Russia hatohudhuria