US: Marekani haiwezi kuziba mahitaji ya gesi ya Russia (mita za ujazo bilioni 150) ipelekwayo Ulaya kwa mabomba

US: Marekani haiwezi kuziba mahitaji ya gesi ya Russia (mita za ujazo bilioni 150) ipelekwayo Ulaya kwa mabomba

Sikirimimimasikini

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2019
Posts
2,926
Reaction score
15,634
Ijumaa iliyopita Biden alitangaza kuziuzia nchi za Ulaya (EU) gesi iliyo katika hali ya kimiminika (Liquefied natural gas, LNG) kiasi cha mita za ujazo bilioni 15 ili kupunguza utegemezi wa nchi za Ulaya kwa gesi ya Russia. Tangazo hilo limekuja ktk kipindi ambacho Putin amewaambia nchi za Ulaya na nyinginezo ambazo zimeonesha uadui kwa Russia kuwa watake wasitake watalipia manunuzi ya gesi yake ktk ruble (sarafu ya Russia)

Baada ya tangazo la Biden, wazungu waishio nchi za EU hawakufurahika kihivyo. Cha ajabu waMarekani wa 'Tandahimba' na waUkraine wa 'Kantalamba' walipiga vifijo na vigelegele na kudai kuwa nchi za EU hazitonunua tena gesi ya Russia, zimetoshelewa na Marekani ktk mahitaji ya gesi.

Sasa Marekani yasema kuwa zile mita za ujazo bilioni 15 za gesi iliyo ktk kimiminika (LNG) zitazouzwa na Marekani (kwa mwaka) kwenye nchi za EU, zitakava kiwango cha bilioni 15 za gesi ya hivyohivyo (LNG) ambayo Russia ilikuwa ikiziuzia nchi za EU, lakini sio zile mita za ujazo bilioni 150 za gesi ya Russia ambayo husafirishwa kwa mabomba makubwa kwenda EU.

Hivyo EU hawana namna ya kumkwepa Putin juu ya kutoa ruble ili wauziwe hizo mita za ujazo bilioni 150 za gesi (isiyo ktk kimiminika, isioyo LNG).

========

SmartSelect_20220328-180105_Samsung Internet.jpg

Screenshot_20220328-180423_Samsung Internet.jpg
Screenshot_20220328-180718_Samsung Internet.jpg
SmartSelect_20220328-180826_Samsung Internet.jpg
 
Ijumaa iliyopita Biden alitangaza kuziuzia nchi za Ulaya (EU) gesi iliyo katika hali ya kimiminika (Liquefied natural gas, LNG) kiasi cha mita za ujazo bilioni 15 ili kupunguza utegemezi wa nchi za Ulaya kwa gesi ya Russia...

UAE says energy market needs Russian oil​

DUBAI, March 28 (Reuters) - Russian oil is needed by energy markets and no producer can substitute its production, United Arab Emirates energy minister Suhail al-Mazrouei said on Monday.

He told an industry event that OPEC needed to stay together, stay focused and not allow politics to distract the group.

Reporting by Maha El Dahan and Riham Alkoussa; Writing by Nadine Awadalla; Editing by Edmund Blair

USA anawadanganya watu na madai ya
 
Ngoja tuwawekee link waMarekani wa Tandale😂😂🤣🤣

Ijumaa iliyopita Biden alitangaza kuziuzia nchi za Ulaya (EU) gesi iliyo katika hali ya kimiminika (Liquefied natural gas, LNG) kiasi cha mita za ujazo bilioni 15 ili kupunguza utegemezi wa nchi za Ulaya kwa gesi ya Russia...

Russia ni kama maji usipomnywa utamuoga [emoji16][emoji635]
 
Naona kuna nchi zinaenda kutoa kilio kikali cha maumivu. Yaani USA na kujitapa kote anaweza kusupply 10% tu ya mahitaji. Dunia imechangamka sasa
Mkuu nasikia Hispania watu wanaandamana kushinikiza waziri mkuu kuachia kiti sababu kupanda kwa gharama ya maisha hapa ndo naona waziri mkuu wa Hungary alikuwa sahihi kukataa vikwazo vya mafuta na gesi toka urusi
 
Maandano ni kila kona ulaya tusubiri Russia amalize Operation yake ili tushuhudie ulaya kulivyochangamka sasa hivi si wanaficha kujifanya wanaripoti operation kukipoa kwingine kunatibuka
 
Back
Top Bottom