Sikutegemea watu wenye taaluma kupoteza muda wao kupinga ziara hii.They have a lot to discuss na kuyatolea mapendekezo yanayohusu taaluma zao badala ya kutuletea upuuzi huu.
Inaripotiwa elimu yetu kushuka kiwango kutokana na mambo kama haya.
I think they are going to do it in silence but abandoning it, no way. I wonder if JK did not agree to do it with them secretly :???:
Mi wasiwasi wangu ni kwamba wakitumia njia hii basi tutawekewa base kinyemela! Inabidi tuwe macho sana! Also nimesoma hapahapa JF kwamba kuna training imefanywa na wamarekani ya troops zetu au polisi? Ujue ndivyo wanavyoanza wamarekani remember Columbia? Eti walisema wanafuatilia drug cartels sasa wanasema it's an important 'front for war on drugs' na wamepiga kambi.
Only Liberia, which has historic links to the US, has offered to host it.
Hawa UDASA wote ni waIslam na wanamchukia Bush kwa udini wao!
Mh. Zomba, hii ndio UDASA, Haiwezi kuwa taasisi ya Kiislamu! Vilevile, UDASA wamekuwa mstari wa mbele katika kutetea maslahi ya watanzania siku zote. Akina marehemu Chachage, akina Issa Shivji, Lwaitama ni baadhi ya mifano ya wanaharakati wa UDASA
"UDASA (University of Dar es Salaam Academic Staff Assembly). UDASA was established in August 1980 to provide a forum for members of the academic staff of the University of Dar es Salaam to collectively influence how the University of Dar es Salaam is governed as well as to act as the collective voice of the members of the academic staff on matters which impinged on their lives and work as academicians and as citizens and/or residents of Tanzania" http://www.convocation.udsm.ac.tz/about.htm
Na maandamano yanafanyika kwa nguvu zaidi akitembelea Ulaya kama hujui.
I think the question should be what is the motivation behind Prof. Njozi harsh criticism? Is it patriotism, is it the sense urgency and fairness in international politics? Is there anything that US could do to make him change his mind that would not involve the Middle East? Why does he want Tanzania to align itself with the Middle East and not South America or Far East?
Is there something between the lines that we need to understand. I think there is more to his sentiments than what meets the eyes!
Ndugu wapendwa watanzania mliobarikiwa nchi kubwa yenye madini mengi , ardhi kubwa ambayo haijatumika na watu wapole kuliko wote duniani
kama mnavyojua raisi wenu kipenzi chaguo la mungu mhe jakaya mrisho kikwete amekuwa akienda safari za nje mara kwa mara haswa marekani wengi wamejiuliza mengi kuhusu safari hii
majibu yake yatapatikana siku ya jumatatu saa 3 usiku katika kipindi maalumu cha safari za mtakatifu raisi katika nchi ya marekani
msikose

Kikwete si chaguo la Mungu .....
vipi mdau mungu alikuwa kwenye orodha ya wapiga kura nini?
Mkuu BAK, heshma mbele
Naomba nikufahimishe kuwa: Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete NI CHAGUO LA MUNGU (Warumi 13:1-3).
..........majibu yake yatapatikana siku ya jumatatu saa 3 usiku katika kipindi maalumu cha safari za mtakatifu raisi katika nchi ya marekani
msikose
Mkuu BAK, heshma mbele
Naomba nikufahimishe kuwa: Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete NI CHAGUO LA MUNGU (Warumi 13:1-3).
Mkuu BAK, heshma mbele
Naomba nikufahimishe kuwa: Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete NI CHAGUO LA MUNGU (Warumi 13:1-3).
Akili ni nywele kila mtu ana zake.