zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,930
Sikutegemea watu wenye taaluma kupoteza muda wao kupinga ziara hii.They have a lot to discuss na kuyatolea mapendekezo yanayohusu taaluma zao badala ya kutuletea upuuzi huu.
Inaripotiwa elimu yetu kushuka kiwango kutokana na mambo kama haya.
Dunia nzima kila anapokwenda kichaka anapingwa kwa maandamano na awe msomi au si msomi wote wanajuwa kwa nini wanampinga. Kama wewe hujuwi anachopingwa, basi tulia utazame na tembea kwenye mtandao uone kwanini kote anapingwa kwa maandamano. Simpo search the web for "Bush Demo" utapata majibu