US Naval Bases In Africa (AFRICOM): Sababu, Pingamizi, Faida na Hasara

US Naval Bases In Africa (AFRICOM): Sababu, Pingamizi, Faida na Hasara

Mkubwa Tango, hayo maneno aliyasema Lord Palmerston.

"Nations have no permanent friends or allies, they only have permanent interests."
Lord Palmerston quotes (English Statesman, 1784-1865)
 
Haya ndio Guantanamo Bay nyingine hiyooooo!..
Yaliyowakuta Cuba ku lease ardhi yao kwa maswala ya base za Kiamerika, kisha wakashindwa kuirudisha baada ya kuona hawafaidiki isipokuwa shari tupu, ndiyo yatakayo fuata kwetu.. Tujifunze kutoka Cuba jamani..

Factual correction kidogo:
Cuba hawaku-lease Guantanamo kwa hiyari yao, walilazimishiwa tokea 1903 kwa mkataba wa kikaramagikaramagi kati ya uongozi wa Cuba wakati huo na Marekani unaitwa, Platt's Ammendment, yaani US walikuwa wanailipa Cuba $2000 in gold coins kwa mwaka. Tokea 1930 makubaliano mapya dau likawa $4085 kwa mwaka mpaka leo kama sikosei, ndiyo maana Castro alivyochukua nchi tokea 1959 he has never cashed the US checks in protest...
 
Ok umasikini wetu unatuponza kwa kila kitu.Lakini kibaya zaidi umaskini wa fikara tulio nao ndo mbaya zaidi.Leo tunazungumza kuhusu Military base,Lakini jana tulikuwa tukizungumzia mafanikio ya kiongoz wa awamu hii .Moja ya mafanikio ambayo hata mwenyewe aliwahi kuyaeleza ni ujio wa Rais wa Taifa kubwa duniani,kama haitoshi kwamba alikaa siku nne nchini na kumwaga mahela kwa wale wasio na uwezo wa kununua vyandarua vya kuzuia mbu.Lakini kiongozi huyo Mkuu wa taifa kubwa alipotupiwa kiatu kama swahiba wetu hatukumpa pole.Maana yake nini,tulijua kuwa alisitahili ule "mrusho" wa kiatu.Sasa basi kama hilo tuliliona sasa base inajengwa kiatu kitaelekezwa kwa nani?Tayari wakaazi wa Kigamboni wameanza kununua viatu saizi tofauti ili kujiandaa kuvirusha ifikapo 2010.Kwa hali hiyo basi watanzania wote wavaao viatu namba 10 nao Wajiandae kuvirusha ifikapo 2010.Kama hatukurusha viatu Military base itajengwa na American army watahamia hapa.
Wallaaaaaahhi siwachukii watu hawa ila propaganda zao za kutuchagulia tumpende nani na tumwache nani kama sera basi ndiko liliko tatizo langu kubwa sana.Kwa mtizamo wa haraka haraka tunaweza kudhani watatufaa,Lakini Msidanganyike Kabaila siku zote anaangalia maslahi yake kwanza ,mengine ni kujikosha tuuu.Jiandaeni kurusha viatu kwa hao wanaotuuza kila kona ya nchi.Je vizazi vijavyo vitaacha kufukua mafuvu ya vichwa vyetu kwenda nayo maabara kuyapima kama tulikuwa na utimilifu wa ufahaamu?Unasikia muziki wanaoupigwa kule Uingereza sasa hivi? Kesho Marekani na kwingineko.Kule kwao sisi ni watu katika daraja dhaifu tusiojitosheleza kwa kufikiria mambo yetu.Hata rais wetu anasaidiwa kufikiri na wao kwani wao ndo waliojaliwa kufikiria zaidi.Angalieni Kenya,Rwanda wanatoa kipau mbele gani kwa wananchi wake sasa hivi ?Siye tumekalia kufungua hata milango ya uani kuwakaribisha wageni wawekezaji.???
 
Last edited:
Kama ni kweli Kigamboni kutajengwa Kituo cha Jeshi la Marekani Afrika na si Mji wa kisasa basi Viongozi wetu watakuwa wamelogwa kwa kuwa watakuwa wanasema na kufanya mambo kwa kudanganya kitu ambacho ni sawa na kuiuza Nchi na watu wake.Kitu chochote kama kina manufaa kifanywe kwa uwazi na si kwa kificho,wananchi washirikishwe na si kufanya maamuzi kisiri yanayoweza kuigarimu nchi kwa viongozi kujiamulia tu.Ngoja tusubiri siku ipo kila kitu kitakuwa wazi,vinavyofanyika uvunguni mwa kitanda kuna siku yatakuwa juu ya bati/paa la nyumba.
 
Recently kumekuwa na mizunguko mingi ya General Ward na watu wake hasa kwenye visiwa vya Comoro, Madagascar na Reunion, ila sijajua kama alipitia na Tanzania.
 
Anayesema Japan na Ujerumani zimefaidika kwa kuwa na base ya mmarekani, atwambie pia vipi Japan na Ujerumani zimefaidika katika mikataba mingine. Hivi unadhani kwa umasikini wetu watakapoingia tutafaidika kama wanavyofaidika Japan?, sababu sisi msaada mdogo sana tunatoa ardhi zetu na kuingia mkataba utakao tusumbua miaka kibao. Djibout wana base, hiyo nchi imefaidika nini?. Kama ni suala la kufaidika, tungeanza kufaidika katika madini, kama zinavyofaidika nchi nyingine za kiafrika (mfano SA, Ghana nk).

Zaidi watatuongezea maadui, manake nchi itakayotaka pigwa ya karibu na Afrika jeshi la Marekani litatokea katika ardhi yetu. Ujinga na ufisadi wa kimaadili ni jambo la hatari sana kwa viongozi wetu.
 
So does anybody actually have some evidence or is it just the same old rumours we have been hearing for years.

Waswahili wasema lisemwalo lipo na kama halipo laja!!! Na panapofuka moshi pamefiicha Moto. Kumbuka Sadam na Silaha za kuangamiza!!!!!. Ulianza uvumi Wanyamwezi na wajomba zao GB wakauvalia njuga Nchi ikavamiwa ikasambaratishwa, maelfu wakauwawa uvumi ule umetokea kuwa uongo mweupe.Kuna HATARI uvumi wa kigamboni ukatokea kuwa kweli. hivyo ni bora tuwashike koo viongozi wetu kungali mapema, japo hatutaweza kuzuia lakini kujuana kufahamu nini kinaendelea nivizuri.
 
So does anybody actually have some evidence or is it just the same old rumours we have been hearing for years.

Waswahili wasema lisemwalo lipo na kama halipo laja!!! Na panapofuka moshi pamefiicha Moto. Kumbuka Sadam na Silaha za kuangamiza!!!!!. Ulianza uvumi Wanyamwezi na wajomba zao GB wakauvalia njuga Nchi ikavamiwa ikasambaratishwa, maelfu wakauwawa uvumi ule umetokea kuwa uongo mweupe.Kuna HATARI uvumi wa kigamboni ukatokea kuwa kweli. hivyo ni bora tuwashike koo viongozi wetu kungali mapema, japo hatutaweza kuzuia lakini kujua na kufahamu nini kinaendelea nivizuri.
 
Haya ndio Guantanamo Bay nyingine hiyooooo!..
Yaliyowakuta Cuba ku lease ardhi yao kwa maswala ya base za Kiamerika, kisha wakashindwa kuirudisha baada ya kuona hawafaidiki isipokuwa shari tupu, ndiyo yatakayo fuata kwetu.. Tujifunze kutoka Cuba jamani..

Mkuu,
What is wrong kwa Cuba ku lease ardhi yao? Si wanapokea rent as per agreement? Mi sion tatizo kama unampangisha mtu nyumba for a period of time na mlikubaliana matumizi na mapato wapi shida. Let them come. Labda tatizo ni hiyo secret agenda ambayo pengine mimi sijaijua but under normal thinking let them come..
 
So does anybody actually have some evidence or is it just the same old rumours we have been hearing for years.

The rumor is that at Ardhi ministry, in a 9th floor office somewhere is a model of this base. The rumor also states that the frigate that was anchored at Mombasa is to be moved to this so-called Kigamboni base.

The ones who are going to benefit from this are going to be the ladies of the night aka malaya. Hizo bases za Germany na Japan are ripe with rumors of rape and abuse of neighboring people, most of them accused of trespassing and other petty things. Forget your swimming and leisure south of South Beach or Amani beach, even though these places are out of the range of many wananchi, anyway.

Hivi, wasingeweza kupewa kisiwa kimoja pwani ya TZ au somewhere between Kigamboni and Lindi where they can even boresha miundombinu? Sasa wamepewa hapa karibu kabisa na wengine ndio tunajenga maeneo ya Kigamboni. Nchi yetu hii! Na JK alikuwa mbele kusema kuwa hakuna kambi ya kijeshi ya marekani katika ardhi yetu!
 
eee Mungu, saidia base hiyo ifike haraka hata kesho waanze. ninawakaribisha wamarekani kwa mikono yote miwili.
 
YAANI hizi post zooote humu, sijaona hata moja inayotoa sababu za msingi ni kwa nini US wasiweke hiyo base yao Kigamboni (kama wana nia kweli)

Jamani, ushauri wangu ni huu: Kama huafiki au unaona hiyo base haifai kuwepo AINISHA SABABU ZAKO. perhaps it can help hata watunga sera (si wanaingia humu JF-Lol!) WAWEZE kuyasoma..perhaps kama una maoni LEGIT wanaweza kuyafanyia kazi. LAKINI hapa tunachokifanya sasa hivi ni ule ule ugonjwa wetu wa TANZANIA kulaumu bila kutoa jawabu mbadala. Ni kweli wengi wanaweza kuwa hawakubaliani na huu uamuzi..lakini toeni sababu za kwa nini hamkubaliani! Hata mtu akisoma humu aelewe kinachoendelea...Na ninaamini kuna wengi wetu humu..tunapinga kuwepo kwa hiyo base lakini hata ukituuliza ni kwa nini hatujui..ilmradi ni ni kitu kinaihusu "Imperialist USA". Otherwise hapa tunajaza thread tuu kujifurahisha..na mwisho thread itakufa natural death! Na base itajengwa na wananchi watasahau. Imean wananchi wanaoingia JF! Maana babu yangu Sengerema hardly knows this military base thing!

Masanja
 
Na wewe pia ningependa kusikia sababu zako kwa nini unaona ni jambo la faida kwa Tanzania kuwa na base ya Wamarekani ardhini kwake. Zitaje hizo faida.
 
Na wewe pia ningependa kusikia sababu zako kwa nini unaona ni jambo la faida kwa Tanzania kuwa na base ya Wamarekani ardhini kwake. Zitaje hizo faida.

Mkuu Jasusi,

Mimi sijachukua side yoyote katika huu mjadala. Wakipewa base huko Kigamboni kwangu ni sawa tuu, wakikataliwa vile vile mimi naona sawa. Mimi kama mimi sioni impact yoyote wawepo au wasiwepo. Infact in my earlier post I intimated kwamba If I AM GIVEN TO CHOOSE BETWEEN TWO EVILS (US AND CHINA), I WOULD GO FOR A LESSER EVIL and in this case to me, US is a lesser evil than China.
 
The rumor is that at Ardhi ministry, in a 9th floor office somewhere is a model of this base. The rumor also states that the frigate that was anchored at Mombasa is to be moved to this so-called Kigamboni base.

The ones who are going to benefit from this are going to be the ladies of the night aka malaya. Hizo bases za Germany na Japan are ripe with rumors of rape and abuse of neighboring people, most of them accused of trespassing and other petty things. Forget your swimming and leisure south of South Beach or Amani beach, even though these places are out of the range of many wananchi, anyway.

Hivi, wasingeweza kupewa kisiwa kimoja pwani ya TZ au somewhere between Kigamboni and Lindi where they can even boresha miundombinu? Sasa wamepewa hapa karibu kabisa na wengine ndio tunajenga maeneo ya Kigamboni. Nchi yetu hii! Na JK alikuwa mbele kusema kuwa hakuna kambi ya kijeshi ya marekani katika ardhi yetu!

Unazungumzia USS Ashland?
 
The thing is this.. impact inakuja pale ambapo watakuwa ina very good position to impose their economic interests on the people of east Africa.. the Gas and Oil in Tanzania and the surrounding areas itaenda to their economy rather than the chinese one.. Hawa watu wanapigana a war of 'energy' ambayo itakuja kuonekana 20yrs from now... Wanafikiria mbali..
 
Yawezekana naibu waziri wa mambo ya inje wa USA yuko Tz kwa maandalizi ya AFRICOM
 
Back
Top Bottom