Mwakilishi
JF-Expert Member
- Jan 31, 2007
- 483
- 34
Haya ndio Guantanamo Bay nyingine hiyooooo!..
Yaliyowakuta Cuba ku lease ardhi yao kwa maswala ya base za Kiamerika, kisha wakashindwa kuirudisha baada ya kuona hawafaidiki isipokuwa shari tupu, ndiyo yatakayo fuata kwetu.. Tujifunze kutoka Cuba jamani..
Hakuna cha kambi wala nini, wanajenga chuo cha utafiti wa Mifugo!
So does anybody actually have some evidence or is it just the same old rumours we have been hearing for years.
So does anybody actually have some evidence or is it just the same old rumours we have been hearing for years.
Haya ndio Guantanamo Bay nyingine hiyooooo!..
Yaliyowakuta Cuba ku lease ardhi yao kwa maswala ya base za Kiamerika, kisha wakashindwa kuirudisha baada ya kuona hawafaidiki isipokuwa shari tupu, ndiyo yatakayo fuata kwetu.. Tujifunze kutoka Cuba jamani..
So does anybody actually have some evidence or is it just the same old rumours we have been hearing for years.
YAANI hizi post zooote humu, sijaona hata moja inayotoa sababu za msingi ni kwa nini US wasiweke hiyo base yao Kigamboni (kama wana nia kweli)
Jamani, ushauri wangu ni huu: Kama huafiki au unaona hiyo base haifai kuwepo AINISHA SABABU ZAKO. perhaps it can help hata watunga sera (si wanaingia humu JF-Lol!) WAWEZE kuyasoma..perhaps kama una maoni LEGIT wanaweza kuyafanyia kazi. LAKINI hapa tunachokifanya sasa hivi ni ule ule ugonjwa wetu wa TANZANIA kulaumu bila kutoa jawabu mbadala. Ni kweli wengi wanaweza kuwa hawakubaliani na huu uamuzi..lakini toeni sababu za kwa nini hamkubaliani! Hata mtu akisoma humu aelewe kinachoendelea...Na ninaamini kuna wengi wetu humu..tunapinga kuwepo kwa hiyo base lakini hata ukituuliza ni kwa nini hatujui..ilmradi ni ni kitu kinaihusu "Imperialist USA". Otherwise hapa tunajaza thread tuu kujifurahisha..na mwisho thread itakufa natural death! Na base itajengwa na wananchi watasahau. Imean wananchi wanaoingia JF! Maana babu yangu Sengerema hardly knows this military base thing!
Masanja
Na wewe pia ningependa kusikia sababu zako kwa nini unaona ni jambo la faida kwa Tanzania kuwa na base ya Wamarekani ardhini kwake. Zitaje hizo faida.
The rumor is that at Ardhi ministry, in a 9th floor office somewhere is a model of this base. The rumor also states that the frigate that was anchored at Mombasa is to be moved to this so-called Kigamboni base.
The ones who are going to benefit from this are going to be the ladies of the night aka malaya. Hizo bases za Germany na Japan are ripe with rumors of rape and abuse of neighboring people, most of them accused of trespassing and other petty things. Forget your swimming and leisure south of South Beach or Amani beach, even though these places are out of the range of many wananchi, anyway.
Hivi, wasingeweza kupewa kisiwa kimoja pwani ya TZ au somewhere between Kigamboni and Lindi where they can even boresha miundombinu? Sasa wamepewa hapa karibu kabisa na wengine ndio tunajenga maeneo ya Kigamboni. Nchi yetu hii! Na JK alikuwa mbele kusema kuwa hakuna kambi ya kijeshi ya marekani katika ardhi yetu!