US-Politics: Biden asema Mungu amemruhusu aendelee na mbio za kuwania tena kiti cha uraisi

US-Politics: Biden asema Mungu amemruhusu aendelee na mbio za kuwania tena kiti cha uraisi

Xi Jinping

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2023
Posts
3,651
Reaction score
11,548
Kumekuwa na gumzo kubwa Marekani ambapo watu wanashauri Biden apumzike asigombee kwa awamu nyingine kwa sababu ya umri. Ona mzee Biden alichowajibu;

"Ikiwa Bwana Mwenyezi angeshuka na kusema Joe, ondoka kwenye mbio za uchaguzi ningetoka kwenye mbio hizi za uchaguzi. Lakini Bwana Mwenyezi hajashuka kuniambia."
-Joe Biden​
 
Nyonzooo nyonzooo maamaee Nyonzo bin mvule Israel FOREVER whether you like it or not.

Nyoooonzooooo kammon

20240617_104327.jpg
 
Hana jipya mzee nashangaa anapata wapi nguvu ya kumtaja Mungu wakati amemwaga sana damu za watoto mjini Gaza akishirikiana na Netanyahu
Bado haujasema.Ngoja aje Trump ndiyo utakimbia na highal yako huku unapiga yowe.
 
Uzuri wa siasa za US kila mtu ana haki ya kuchagua au kuchaguliwa! Na mtu hanyang'anywi haki yake labda akatae mwenyewe!
Kama Biden hataki kuachia kinyanganyiro cha kugombea hakuna namna! Democrat wakubali kupoteza uchaguzi nov. 2024
 
Wa kuwaonea huruma ni Wamarekani.

Maana hao wazee wote 2 hakuna cha maana walichowafanyia Wamarekani miaka yote hiyo waliyokuwa wanapokezana kiti cha uraisi
Unaendeshwa na hisia zako hasi.Waulize tena USA kuhusu Trump na uchumi wao.
 
Uzuri wa siasa za US kila mtu ana haki ya kuchagua au kuchaguliwa! Na mtu hanyang'anywi haki yake labda akatae mwenyewe!
Kama Biden hataki kuachia kinyanganyiro cha kugombea hakuna namna! Democrat wakubali kupoteza uchaguzi nov. 2024
Ni kweli ni haki yake lakini mpaka deep state na raia wameona Biden apumzike ujue wana nia njema na mzee Biden na taifa lao
 
Back
Top Bottom