Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
- Thread starter
- #21
Ndiyo utajua sababu atakaporudi tena.
Trump ni yuleyule na sera zake sioni jipya atalifanya Marekani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo utajua sababu atakaporudi tena.
Bwana Mwenyezi!!!hakuna neno Mungu!!
Sawa
Huoni atakaloifanyia USA kwa sababu ataumiza hisia zako za kidini ila atawatendea mema wa nchi yake.Trump ni yuleyule na sera zake sioni jipya atalifanya Marekani
Huoni atakaloifanyia USA kwa sababu ataumiza hisia zako za kidini ila atawatendea mema wa nchi yake.
Uliongea lini na "deep state" wakakueleza hayo?Ni kweli ni haki yake lakini mpaka deep state na raia wameona Biden apumzike ujue wana nia njema na mzee Biden na taifa lao
Uliongea lini na "deep state" wakakueleza hayo?
Utajua watakapompa awamu hii.Mbona una haraka?Kwa nini hawakumpa Trump nafasi aendelee na awamu ya pili?
Bado unahisihisi mambo bila ushahidi.Hilo liko wazi mkuu labda kama sio mfuatiliaji
Utajua watakapompa awamu hii.Mbona una haraka?
Bado unahisihisi mambo bila ushahidi.
Hujui.Unahisi.Singozwi na hisia nasema nachojua
Na kweli muda umeongea.Biden ana kigugumizi na kutetemeka.Biden's gone!Sina haraka na siasa za Marekani muda tu ndio utakaongea
Na kweli muda umeongea.Biden ana kigugumizi na kutetemeka.Biden's gone!
Hatari sana.Alipokuwa anahojiwa akaji-nafsi(kujifananisha au kujihisi)yeye ni Kamala Harris makamu wake.Uzee ni shida.Apumzike tu, hata kumbukumbu imeanza kuwa changamoto
Hatari sana.Alipokuwa anahojiwa akaji-nafsi(kujifananisha au kujihisi)yeye ni Kamala Harris makamu wake.Uzee ni shida.
Sina la kuongeza.Hebu imagine mkuu, mtu kama huyo apewe tena miaka 4
Kwenye ule mdaharo aliongea sana pumba
Bwana mwenyezi atashuka kumfuata akapumzike milele,sio kumfata wakagombee uraisKumekuwa na gumzo kubwa Marekani ambapo watu wanashauri Biden apumzike asigombee kwa awamu nyingine kwa sababu ya umri. Ona mzee Biden alichowajibu;
"Ikiwa Bwana Mwenyezi angeshuka na kusema Joe, ondoka kwenye mbio za uchaguzi ningetoka kwenye mbio hizi za uchaguzi. Lakini Bwana Mwenyezi hajashuka kuniambia."
-Joe Biden
Usimuombee kifo.Yeye anataka aishi kama Musa.Miaka kama yote.Bwana mwenyezi atashuka kumfuata akapumzike milele,sio kumfata wakagombee urais
Bwana mwenyezi atashuka kumfuata akapumzike milele,sio kumfata wakagombee urais