Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
Hujamalizia.
Ongeza nyama
Nyonzooo nyonzooo maamaee Nyonzo bin mvule Israel FOREVER whether you like it or not.Ongeza nyama
Hili linchi nalo soon litageuka channel ya vichekesho.
Dakika za jioniiiiii....
Bado haujasema.Ngoja aje Trump ndiyo utakimbia na highal yako huku unapiga yowe.Hana jipya mzee nashangaa anapata wapi nguvu ya kumtaja Mungu wakati amemwaga sana damu za watoto mjini Gaza akishirikiana na Netanyahu
Bado haujasema.Ngoja aje Trump ndiyo utakimbia na highal yako huku unapiga yowe.
Unaendeshwa na hisia zako hasi.Waulize tena USA kuhusu Trump na uchumi wao.Wa kuwaonea huruma ni Wamarekani.
Maana hao wazee wote 2 hakuna cha maana walichowafanyia Wamarekani miaka yote hiyo waliyokuwa wanapokezana kiti cha uraisi
Uzuri wa siasa za US kila mtu ana haki ya kuchagua au kuchaguliwa! Na mtu hanyang'anywi haki yake labda akatae mwenyewe!
Kama Biden hataki kuachia kinyanganyiro cha kugombea hakuna namna! Democrat wakubali kupoteza uchaguzi nov. 2024
Unaendeshwa na hisia zako hasi.Waulize tena USA kuhusu Trump na uchumi wao.
Ndiyo utajua sababu atakaporudi tena.Kwa nini hawakumpa Trump nafasi aendelee na awamu ya pili?