US sanctions Tanzania's largest Commercial Bank, FBME over suspected ties to Money Laundering

US sanctions Tanzania's largest Commercial Bank, FBME over suspected ties to Money Laundering

"Separately, in 2008, an FBME customer received a deposit of hundreds of thousands of dollars from a financier for Lebanese Hezbollah. FBME also facilitates financial activity for transnational organized crime", says the report by FinCEN

Lebanese Hezbollah is a legitimate party in Lebanon.

Read this: Among the biggest audit scandals of 2014 is the Vatican Bank Scandal. The Vatican Bank has been faced with scandal in the last few years...

Source: 5 Biggest Accounting Scandals in 2014 to Learn From - Infinit Accounting
 
That's not a Tanzanian Bank, its a foreign bank in Tanzania also.

I remember it was linked with Vatican owned bank money laundering scandal recently.

You're right. It is a subsidiary of an International Bank FBME Limited. Ni vile tu sheria yetu inafavour companies zilizokuwa registered in Tanzania ndio maana waka establish FBME Bank Tanzania Ltd. Ila majority shareholder ni FBME Limited
 
Largest commercial bank tangia lini? Hii bank haina hata tawi itakuwaje largest? Deposits zake kiduchu

lipo tawi wewe hadi arusha sio dar tu alaf huwa nashangaa bank hainaga foleni nadhan ni bank ya magaidi
 
The shares of stock of FBME Bank are owned by Ayoub-Farid M Saab (50%) and Fady M Saab

lakin mbona sheria hairuhusu ndugu wa familia1 kumiliki bank.wao wenyewe?!hii kali nchi hii imelala fofofoooo
 
Ukiisoma iyo hbari utakuta kuna kipande hiki kimefunikwa funikwa ambacho ndio msingi wa hiyo habari yote, ambayo si "news" ipo mtandaoni siku nyingi sana:

As recently as a year ago, Tanzania managed to get itself removed from a list of countries considered to be at high risk for money-laundering activity.

Muelewe kuwa Tanzania ina emerge kama hub ya finance katika Afrika Mashariki, kuna wengi hawapendi hilo. Hii habari imekaa katika kuichafuwa Tanzania zaidi ya bank na mapunguani wa Kitanzania humu hawalioni hilo.

Ninashangaa kuwa hawaongelei kuwa hiyo "money laundering" inayotajwa ina involve Bank ya Vatican lakin haitwajwi kabisa, why?

Haitajwi kwa kuwa sio issue of concern. Kama mleta hoja unavyodai wewe anataka kuichafua Tanzania, ilikuwa na wajibu wako wewe kuisafisha ama hiyo benki yako yenye kashfa (FBME) au kuisafisha Tanzania au basi kuonyesha uchafu wa taasisi zenye maslahi na huyu mleta mada.

Badala yake unafanya jitihada ya kuhamisha mjadala kutoka kashfa ya hiyo benki na kuipeleka kwenye neno 'Vatican'. Hapo unasaidia nini? Bado sijaona logical connection kati ya FBME na na hiyo unayoiita Benki ya Vatican. Hebu tusaidie unataka tujadili issue ya nchi nyingine 'Vatican' kuhalalisha kashfa ya FBME?
 
Hii bank mbona shughuli zake kitambo tu zilikuwa zinasimamiwa na bank kuu baada ya kugundulika na mcheo huo, tena nakumbuka Mafuru aliyekuwa Nbc ndo alikuwa anasimamia.
 
Cha ajabu ni kuwa lilitajwa kushirikiana na Bank ya Vatican inayomilikiwa na Kanisa Katoliki.
na kutunza/kupitisha pesa za mfadhili wa Hezbollah inayoungwa mkono na Islamic Republic of Iran. dunia ina maajabu kweli!
 
Ukiisoma iyo hbari utakuta kuna kipande hiki kimefunikwa funikwa ambacho ndio msingi wa hiyo habari yote, ambayo si "news" ipo mtandaoni siku nyingi sana:

As recently as a year ago, Tanzania managed to get itself removed from a list of countries considered to be at high risk for money-laundering activity.

Muelewe kuwa Tanzania ina emerge kama hub ya finance katika Afrika Mashariki, kuna wengi hawapendi hilo. Hii habari imekaa katika kuichafuwa Tanzania zaidi ya bank na mapunguani wa Kitanzania humu hawalioni hilo.

Ninashangaa kuwa hawaongelei kuwa hiyo "money laundering" inayotajwa ina involve Bank ya Vatican lakin haitwajwi kabisa, why?

Chei chei dada yangu.

Mapunguani wa Tanzania ndio wale wanaokaa Ikulu na wengine ambao wanatunga sheria Dodoma?
 
Chei chei dada yangu.

Mapunguani wa Tanzania ndio wale wanaokaa Ikulu na wengine ambao wanatunga sheria Dodoma?

Mapunguani wa Tanzania ni kama wewe wanaokutawala unawaona mapunguani. Kama si upunguani huo ni nini?

Hivo hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Mapunguani wa Tanzania ni kama wewe wanaokutwala unawaona mapunguani. Kama si upunguani huo ni nini?

Hivo hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Si unajua mambo ya chuo, ni kaswida na qurani tu, haya madude mengine ni magumu kudigest tusamehe bure mpaka tutakapopata elimu dunia bibi yangu...
 
Siku nyiingi ilishashtukiwa. Ilikuwa inatumika kutakasa pesa na haikuwa na wateja, wawe corporate ama individual, wanaojulikana

Kimbunga,

Largest bank haimaanishi wingi wa matawi pekee...hii bank haikuwa kwa wtu kama wewe au FaizaFoxy. Na mara nyingi ilikuwa na ina deal pia na dhahabu kwa wingi, hasa huku Kanda ya Ziwa...so kama anayokwambia Innobwoy kwamba ukiambiwa na deposits nyingi kuliko hata CRDB wala usishangae..at least nin uelewa kidogo kuhusu bank hii.
 
Mapunguani wa Tanzania ni kama wewe wanaokutwala unawaona mapunguani. Kama si upunguani huo ni nini?

Hivo hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Mwalimu wetu siulikuwa wewe, au umejisahaulisha kwa makusudi kwamba tulifundishwa na wewe huo upunguani? Tulikuwa tunakuita malkia wa mapunguani au umesahau bibie?
 
Ukiisoma hiyo habari utakuta kuna kipande hiki kimefunikwa funikwa ambacho ndio msingi wa hiyo habari yote, ambayo si "news" ipo mtandaoni siku nyingi sana:

As recently as a year ago, Tanzania managed to get itself removed from a list of countries considered to be at high risk for money-laundering activity.

Muelewe kuwa Tanzania ina emerge kama hub ya finance katika Afrika Mashariki, kuna wengi hawapendi hilo. Hii habari imekaa katika kuichafuwa Tanzania zaidi ya bank na mapunguani wa Kitanzania humu hawalioni hilo.

Ninashangaa kuwa hawaongelei kuwa hiyo "money laundering" inayotajwa ina involve Bank ya Vatican lakini haitajwi kabisa, why?

Faiza...naomba nikusapoti kwa hili la Bank of Vaticatin uko sahihi. Naomba pia nikueleweshe juu ya Tanzania kuwa rated kama high risk country in money laundering. Kuna taasisi inaitwa Fanancial Action Task Force (FATF) ambayo imashughulika na ufuatiliaji wa usafishaji wa fedha haramu na kufadhili ugaidi (money laundering and financing of terrorism) ina makao makuu Paris. FATF ilipopitia sheria ya money laundering ya Tanzania ilionekana haifaa na ilikuwa na mapungufu mengi ikiwa ni pamoja na kuwatenga wanasiasa wa tanzania kama sio watu wanaoweza kuhusika kwenye money laundering. Lingine lilikuwa sheria kutokutumika Zanzibar. Hivyo km nchi Tanzania iliwekwa chini ya uangalizi kwenye mambo ya fedha haramu yaani 'Watch Country'. Sheria ilisharekebishwa na sasa status imebadilika ingawa bado hatupo pazuri sana.
 
Kimbunga,

Largest bank haimaanishi wingi wa matawi pekee...hii bank haikuwa kwa wtu kama wewe au FaizaFoxy. Na mara nyingi ilikuwa na ina deal pia na dhahabu kwa wingi, hasa huku Kanda ya Ziwa...so kama anayokwambia Innobwoy kwamba ukiambiwa na deposits nyingi kuliko hata CRDB wala usishangae..at least nin uelewa kidogo kuhusu bank hii.

mkuu naelewa hilo. CAMEL huwa inapima bank. Hii bank ilikuwa ikifanya biashara ya dhahabu kwa siri na transactions zake haziko transparent hivyo haiwezi kuwa largest. Hizi taarifa ziko humu muda kama wa mwaka mmoja hivi. Labda sijui largest inakuwa compared na bank gani au huo largest ni wa nini?
 
Faiza...naomba nikusapoti kwa hili la Bank of Vaticatin uko sahihi. Naomba pia nikueleweshe juu ya Tanzania kuwa rated kama high risk country in money laundering. Kuna taasisi inaitwa Fanancial Action Task Force (FATF) ambayo imashughulika na ufuatiliaji wa usafishaji wa fedha haramu na kufadhili ugaidi (money laundering and financing of terrorism) ina makao makuu Paris. FATF ilipopitia sheria ya money laundering ya Tanzania ilionekana haifaa na ilikuwa na mapungufu mengi ikiwa ni pamoja na kuwatenga wanasiasa wa tanzania kama sio watu wanaoweza kuhusika kwenye money laundering. Lingine lilikuwa sheria kutokutumika Zanzibar. Hivyo km nchi Tanzania iliwekwa chini ya uangalizi kwenye mambo ya fedha haramu yaani 'Watch Country'. Sheria ilisharekebishwa na sasa status imebadilika ingawa bado hatupo pazuri sana.
Sheria zetu siku hizi zinatungwa Paris!!
 
Cha ajabu ni kuwa lilitajwa kushirikiana na Bank ya Vatican inayomilikiwa na Kanisa Katoliki.
Kwa heshima na taadhima dada yangu naomba leo tena kwa mara ya kwanza nikukosoe.

Unaudhalilisha Uislamu. Pindi tu linapotajwa suala la ugaidi na mambo mengine kama hayo unakuwa mkali kwelikweli na kuchomekea issue za imani nyingine ili kuleta mizania sawa (ulinganifu).

Kwa namna moja au nyingine hoja zako zimekuwa zikilenga kuonyesha kuwa uislamu ni ugaidi na ugaidi ni uislamu, jambo ambalo sio kweli.

Jikite kwenye hoja na utaeleweka tu. Kuliko kuona kila hoja inayozumgumzia ugaidi, unadhani inazungumzia au inataka kuudhalilisha uislamu.
 
Back
Top Bottom