US sanctions Tanzania's largest Commercial Bank, FBME over suspected ties to Money Laundering

US sanctions Tanzania's largest Commercial Bank, FBME over suspected ties to Money Laundering

Akili za madrassa tupu huku, very arrogant..

Thnx God, kuwa na mijinga like these, we will rule you to death, sababu ni simple, ujinga wenu ndio FAIDA YETU...madrassa zishawaharibu... na bado...!!!
 
Akili za madrassa tupu huku, very arrogant..

Thnx God, kuwa na mijinga like these, we will rule you to death, sababu ni simple, ujinga wenu ndio FAIDA YETU...madrassa zishawaharibu... na bado...!!!

Dedication to FaizaFoxy and the likes!
 
Last edited by a moderator:
Rudi juu nimeweka na link, kama haujaona rudi tena useme ntakuwekea tena. Pata hii kwanza uburudike na roho yako:

Vatican Bank Scandal - JP Morgan, HSBC Cease Doing Business with Vatican - Ben Swann's Truth In Media
Moderator wanakulea sana pamoja na tabia yako ya kugeuza kila mjadala kuingiza udini..... hakuna mjadala utaoshiriki bila kuweka udini..... akitokea mkristo atayefanya kama wewe najua atachofanywa haraka....... hii tabia ya mods kulea tabia sugu kama hii kwa mtu anayefanya yaleyale kila sekunde huku akishinda google kutafuta mabandiko ya kukashifu dini zingine haijengi taswira njema.
 
Last edited by a moderator:
Usichokijua kuhusu hii bank na marekani ni kama usiku wa giza! Baada ya kuituhumu hii bank kuwa inafanya ugaidi na kuifungia Marekani hawakumaliza muda wakaenda na bank ya Urusi na kuifungia! Hii bank ya FBME pale Cyprus wateja wake wengi ni warusi! Kumbuka pia matatizo haya ya pesa chafu yalishaikumba CITIBANK ya Marekani lakini na walichoishia kufanya ni kuipiga Penalty tu! Nini kimeshindikana kwa hii bank!?? Unafikiri MArekani ingelikuwa na wafanyakazi wake pale ingeifunga bank hii? Tunashabikia vitu ambavyo hatuvijui kwa undani!

Well said mkuu. Nami nimesikia sababu kuu ni uhusiano wa hii bank ndani ya Cyprus na warus.
 
You're right. It is a subsidiary of an International Bank FBME Limited. Ni vile tu sheria yetu inafavour companies zilizokuwa registered in Tanzania ndio maana waka establish FBME Bank Tanzania Ltd. Ila majority shareholder ni FBME Limited

In 2003, as part of its strategic planning, Federal Bank of the Middle East terminated its banking presence in the Cayman Islands and established its parent company and operational headquarters in Tanzania. At the same time, its Cyprus operations became a branch of Federal Bank of the Middle East, Tanzania.
 
Wee kigagula, sikia, licha ya chuki zako zoooote na ukristo na hasa ukatoliki, Mkatoliki ndo anaenda kuwa RAIS wako, kuwa tu mpole! Mi sio mkatolik ila Catholicism will be all over ur hijab's cancealed ass!!

wewe ndiyo umeongea vizuri hongera sana.
 
Akili za madrassa tupu huku, very arrogant..

Thnx God, kuwa na mijinga like these, we will rule you to death, sababu ni simple, ujinga wenu ndio FAIDA YETU...madrassa zishawaharibu... na bado...!!!

wewe ndiye mwana CDM hongera sana
 
Ukisikia tanzania ni miongoni mwa nchi zinazoongoza kwa ufisadi duniani, ndio hivyo. serikali/bnk kuu wanajua historia ya hii benki lakini wanairuhusu nchini. Ufisadi, ufisadi. Na sasa mafisadi wenyewe wanataka kuchukua dola kwa nguvu, Mungu atusaidie.
 
In 2003, as part of its strategic planning, Federal Bank of the Middle East terminated its banking presence in the Cayman Islands and established its parent company and operational headquarters in Tanzania. At the same time, its Cyprus operations became a branch of Federal Bank of the Middle East, Tanzania.

Oh okay. So it's now a Tanzanian based International company. Thanks for the info.
 
Moderator wanakulea sana pamoja na tabia yako ya kugeuza kila mjadala kuingiza udini..... hakuna mjadala utaoshiriki bila kuweka udini..... akitokea mkristo atayefanya kama wewe najua atachofanywa haraka....... hii tabia ya mods kulea tabia sugu kama hii kwa mtu anayefanya yaleyale kila sekunde huku akishinda google kutafuta mabandiko ya kukashifu dini zingine haijengi taswira njema.

Yaani tht Fox, hawezi ku discuss and argue na yeyote yule au any topic without kuingiza UDINI...na mods are just spare and entertain her, hili ni nungayembe, kinuka haja kubwa hv, damn...

Lazima aanze udini tu, kila mada, sijui anapigwa kifiro na dini, mpuuzi sana huyu, ana ujinga kubwa sana, na ujinga wao ndio mtaji wetu....hili nungayembe kabisa, according to her words, hata her body ni mchafu kunuka, muuza k tu...!! Kipuuzi kweli, na haka kanajidai terrorist hapa, kila mada ya kigaidi kana support...

Huyu ni gaidi wa maneno, ila hajapigwa bado, kijinga sana hiki, bull shit
 
Last edited by a moderator:
Kama Bank ya Vatican,haitajwi, wewe umeipata wapi? Hata kwenye link yao hapo juu, hakuna mahali panapoitaja Bank hiyo. Issue hapa ni FBME, mambo ya Vatican yanakujaje hapo? Lengo lako ni nini. Vatican ni nchi kama ilivyo Russia, Lebanon, kwa nini umeshupalia nchi hiyo zaidi kuliko theme yenyewe? Unataka kututoa kwenye hoja ya msingi na kutupeleka kwenye hoja dhaifu. Kwa nini tusiwajadili share holders ambao ndiyo wenye kuweka Business plan. Watafanya biashara ya namna gani na wateja wao watakuwa akina nani na watawapataje? Ni kama muuza cocain anaweza kuishi popote duniani, kosa haliwi la nchi au mji au mtaa au nyumba anayoishi bali mtuhumiwa mwenyewe.
I real doubt of analitical capacity.
Ukiisoma hiyo habari utakuta kuna kipande hiki kimefunikwa funikwa ambacho ndio msingi wa hiyo habari yote, ambayo si "news" ipo mtandaoni siku nyingi sana:

As recently as a year ago, Tanzania managed to get itself removed from a list of countries considered to be at high risk for money-laundering activity.

Muelewe kuwa Tanzania ina emerge kama hub ya finance katika Afrika Mashariki, kuna wengi hawapendi hilo. Hii habari imekaa katika kuichafuwa Tanzania zaidi ya bank na mapunguani wa Kitanzania humu hawalioni hilo.

Ninashangaa kuwa hawaongelei kuwa hiyo "money laundering" inayotajwa ina involve Bank ya Vatican lakini haitajwi kabisa, why?

Akili za madrassa tupu huku, very arrogant..

Thnx God, kuwa na mijinga like these, we will rule you to death, sababu ni simple, ujinga wenu ndio FAIDA YETU...madrassa zishawaharibu... na bado...!!!

Are you ruling right now?
 
Kama Bank ya Vatican,haitajwi, wewe umeipata wapi? Hata kwenye link yao hapo juu, hakuna mahali panapoitaja Bank hiyo. Issue hapa ni FBME, mambo ya Vatican yanakujaje hapo? Lengo lako ni nini. Vatican ni nchi kama ilivyo Russia, Lebanon, kwa nini umeshupalia nchi hiyo zaidi kuliko theme yenyewe? Unataka kututoa kwenye hoja ya msingi na kutupeleka kwenye hoja dhaifu. Kwa nini tusiwajadili share holders ambao ndiyo wenye kuweka Business plan. Watafanya biashara ya namna gani na wateja wao watakuwa akina nani na watawapataje? Ni kama muuza cocain anaweza kuishi popote duniani, kosa haliwi la nchi au mji au mtaa au nyumba anayoishi bali mtuhumiwa mwenyewe.
I real doubt of analitical capacity.

Hii habari inaweza kuwa kwako ni mpya lakini ipo siku nyingi sana, ni mpaka usome ilipoanzia ndiyo utanifahamu nasema nini, unaongelea muuza cocaine? Pitia hizi nyuzi uone benki ya Vatican iko involved vipi na FBME na hizo cocaine pia, wacha kiherehere:

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...waangaliwe-wasije-kuwa-kama-fbme-bank-12.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...o-ndullu-ajiuzulu-na-bodi-nzima-ya-bot-4.html

Cyprus seeking buyers for FBME | Business , Local | THE DAILY STAR

Labda ukishasoma hizo links utanielewa, ukipenda usipende. Labda usizisome tu na ufanye kiherehere cha kuja kujibu tena bila kuwa na information ya hili sakata.

Ndiyo tunashangaa leo mbona benki ya Vatican haitajwi? na uchunguzi ulianzia huko baada ya scandal kubwa sana ya benki ya Vatican?
 
Siku nyiingi ilishashtukiwa. Ilikuwa inatumika kutakasa pesa na haikuwa na wateja, wawe corporate ama individual, wanaojulikana

wateja inao tena wengi kwasabu interest zao ni kubwa ila pesa ya kuanzia ndio kubwa. Hata mimi nilishataka kufungua account pale ndipo zikavuma tetesi za kuichunguza. Ilitakiwa kuwa na kianzio cha laki tatu. Ila ni benki yenye wateja wengi. Ina tawi moja Bara lakini zanzibar imeimarika zaidi!
 
Well said mkuu. Nami nimesikia sababu kuu ni uhusiano wa hii bank ndani ya Cyprus na warus.

hii ndio base wadau.
hay mambo I kujaribu kuikaburusi tu. na ni the LARGEST ommercial nk iz tz, kubali ukatae,fnya esearch utaamini.imbanwa mwaka mziima lakininaerte,jilizeinterest zake ubwa ndio zinaiendesha kwa muda wote.

ukikataa mulie Kimi, au beno ndlu utajaa.
 
Back
Top Bottom