"Separately, in 2008, an FBME customer received a deposit of hundreds of thousands of dollars from a financier for Lebanese Hezbollah. FBME also facilitates financial activity for transnational organized crime", says the report by FinCEN
That's not a Tanzanian Bank, its a foreign bank in Tanzania also.
I remember it was linked with Vatican owned bank money laundering scandal recently.
Largest commercial bank tangia lini? Hii bank haina hata tawi itakuwaje largest? Deposits zake kiduchu
The shares of stock of FBME Bank are owned by Ayoub-Farid M Saab (50%) and Fady M Saab
Ukiisoma iyo hbari utakuta kuna kipande hiki kimefunikwa funikwa ambacho ndio msingi wa hiyo habari yote, ambayo si "news" ipo mtandaoni siku nyingi sana:
As recently as a year ago, Tanzania managed to get itself removed from a list of countries considered to be at high risk for money-laundering activity.
Muelewe kuwa Tanzania ina emerge kama hub ya finance katika Afrika Mashariki, kuna wengi hawapendi hilo. Hii habari imekaa katika kuichafuwa Tanzania zaidi ya bank na mapunguani wa Kitanzania humu hawalioni hilo.
Ninashangaa kuwa hawaongelei kuwa hiyo "money laundering" inayotajwa ina involve Bank ya Vatican lakin haitwajwi kabisa, why?
na kutunza/kupitisha pesa za mfadhili wa Hezbollah inayoungwa mkono na Islamic Republic of Iran. dunia ina maajabu kweli!Cha ajabu ni kuwa lilitajwa kushirikiana na Bank ya Vatican inayomilikiwa na Kanisa Katoliki.
Ukiisoma iyo hbari utakuta kuna kipande hiki kimefunikwa funikwa ambacho ndio msingi wa hiyo habari yote, ambayo si "news" ipo mtandaoni siku nyingi sana:
As recently as a year ago, Tanzania managed to get itself removed from a list of countries considered to be at high risk for money-laundering activity.
Muelewe kuwa Tanzania ina emerge kama hub ya finance katika Afrika Mashariki, kuna wengi hawapendi hilo. Hii habari imekaa katika kuichafuwa Tanzania zaidi ya bank na mapunguani wa Kitanzania humu hawalioni hilo.
Ninashangaa kuwa hawaongelei kuwa hiyo "money laundering" inayotajwa ina involve Bank ya Vatican lakin haitwajwi kabisa, why?
"Tanzania's largest commercial bank"? With what criterion?
Chei chei dada yangu.
Mapunguani wa Tanzania ndio wale wanaokaa Ikulu na wengine ambao wanatunga sheria Dodoma?
Mapunguani wa Tanzania ni kama wewe wanaokutwala unawaona mapunguani. Kama si upunguani huo ni nini?
Hivo hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Siku nyiingi ilishashtukiwa. Ilikuwa inatumika kutakasa pesa na haikuwa na wateja, wawe corporate ama individual, wanaojulikana
Mapunguani wa Tanzania ni kama wewe wanaokutwala unawaona mapunguani. Kama si upunguani huo ni nini?
Hivo hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Ukiisoma hiyo habari utakuta kuna kipande hiki kimefunikwa funikwa ambacho ndio msingi wa hiyo habari yote, ambayo si "news" ipo mtandaoni siku nyingi sana:
As recently as a year ago, Tanzania managed to get itself removed from a list of countries considered to be at high risk for money-laundering activity.
Muelewe kuwa Tanzania ina emerge kama hub ya finance katika Afrika Mashariki, kuna wengi hawapendi hilo. Hii habari imekaa katika kuichafuwa Tanzania zaidi ya bank na mapunguani wa Kitanzania humu hawalioni hilo.
Ninashangaa kuwa hawaongelei kuwa hiyo "money laundering" inayotajwa ina involve Bank ya Vatican lakini haitajwi kabisa, why?
Kimbunga,
Largest bank haimaanishi wingi wa matawi pekee...hii bank haikuwa kwa wtu kama wewe au FaizaFoxy. Na mara nyingi ilikuwa na ina deal pia na dhahabu kwa wingi, hasa huku Kanda ya Ziwa...so kama anayokwambia Innobwoy kwamba ukiambiwa na deposits nyingi kuliko hata CRDB wala usishangae..at least nin uelewa kidogo kuhusu bank hii.
Sheria zetu siku hizi zinatungwa Paris!!Faiza...naomba nikusapoti kwa hili la Bank of Vaticatin uko sahihi. Naomba pia nikueleweshe juu ya Tanzania kuwa rated kama high risk country in money laundering. Kuna taasisi inaitwa Fanancial Action Task Force (FATF) ambayo imashughulika na ufuatiliaji wa usafishaji wa fedha haramu na kufadhili ugaidi (money laundering and financing of terrorism) ina makao makuu Paris. FATF ilipopitia sheria ya money laundering ya Tanzania ilionekana haifaa na ilikuwa na mapungufu mengi ikiwa ni pamoja na kuwatenga wanasiasa wa tanzania kama sio watu wanaoweza kuhusika kwenye money laundering. Lingine lilikuwa sheria kutokutumika Zanzibar. Hivyo km nchi Tanzania iliwekwa chini ya uangalizi kwenye mambo ya fedha haramu yaani 'Watch Country'. Sheria ilisharekebishwa na sasa status imebadilika ingawa bado hatupo pazuri sana.
Cha ajabu ni kuwa lilitajwa kushirikiana na Bank ya Vatican inayomilikiwa na Kanisa Katoliki.
Kwa heshima na taadhima dada yangu naomba leo tena kwa mara ya kwanza nikukosoe.Cha ajabu ni kuwa lilitajwa kushirikiana na Bank ya Vatican inayomilikiwa na Kanisa Katoliki.