US to Reduce 40% of its aids to countries which did not vote against Russia in UN council , Tanzania inclusive

Tanzania inatetea uvamizi, US wako sahihi.
[emoji1][emoji1][emoji1]
FO5UG84XEAArrIr.jpg
 
Akishaanza marekani wanafuata EU na washiriki wake etc.na tulivo mabingwa wa kuomba omba na mikopo tutegemee bajeti kukosa support ...naziona tozo mpya bajeti Hii na nayaona maisha ya watanzania yatakuwa magumu zaidi ...
 
US to Reduce 40% of its aids to countries which did not vote against Russia in UN council , Tanzania inclusive

And those who supported aids will be reduced to 100%....
Hii account kumbe yako we jamaa..hivi huwa mnalipwa na serikali ya ukraine??...Ni Tanzania pekee ndiye aliyekuwa against mpaka atajwe yeye kwenye hii tweet??!..napata mashaka hii ni account yako
 
Ipi hiyo we pokea ujumbe hahaha mnauwawa
 
US to Reduce 40% of its aids to countries which did not vote against Russia in UN council , Tanzania inclusive

And those who supported aids will be reduced to 100%..
Inavyoonekana USA inateseka sana na uwepo wa Russia. Inaona mambo yake mengi hayara kamilika kama Russia inabaki imara.. Anataka kutufanya watu wate duniani ni wajinga. Atachochea kuni sana za kumchafua Russia lakini hataweza kuwaingiza watu welevu ktk ujinga wake huo
 
Back
Top Bottom