US to Reduce 40% of its aids to countries which did not vote against Russia in UN council , Tanzania inclusive

And those who supported aids will be reduced to 100%....
US ni ma mbwa tu hiyo misaada si wapeleke Somalia au Kenya kwenye njaa
 
Wewe unafkr Kwa nn huko walikuwa kimya ? Hakuna mchongo wa maana , Ukraine kuna mtu walikuwa wanamtegea tego , hakuna rangi utaacha kuona mpak wamnase Kwa Gharama iwayo yote ile
walikuwa kimya kina nani?na wakati wao ndio waliokuwa wanaua nani angewapigia kelele?wakati wao ndio wapiga kelele.
 
US to Reduce 40% of its aids to countries which did not vote against Russia in UN council , Tanzania inclusive

And those who supported aids will be reduced to 100%...
Poa tu. Wameuwa waasisi wa ukombozi afrika tupo kimya. Wamevamia libya kwa mabavu kimya. Wamevamia iraq. Tupo kimya. Wamevamia vietnam. Kimya. Ghafla mwenzao kapewa kibano basi mkuki kwa nguruwe…..waende zao huko!
 
Ila si awamu hii ndio magwiji wa diplomasia ya kimataifa??

Imekuwaje tena mambo kama haya yanatokea.

Wafanye safari chaap UN kukutana na kufanya mazungumzo nao.
 
Hii account kumbe yako we jamaa..hivi huwa mnalipwa na serikali ya ukraine??...Ni Tanzania pekee ndiye aliyekuwa against mpaka atajwe yeye kwenye hii tweet??!..napata mashaka hii ni account yako
Huyo jamaa Mpumbavu Sana.Kiwango chake cha ujinga akina mfano toka kuumbwa kwa huu ulimwengu.
 
Back
Top Bottom