Hee., Namaanisha kama Tanzania itapiga kura kussport russia, US wataikatika misaada Tanzania, na watasapoti US halkadhalika Urusi watainunia Tanzania., ndio mana munapiga kura kutoanisha upande ili njaa zenu huko zipate misaada kote kote., lakini angalia kama hili la Human Right Coucil Tanzania hawakufungamana na upande wowote matokeo yake mtakosa misaada kwa 40%
Kwa mfano Tanzania itainyima nini Marekani ili marekani iwe ni pigo kwao? Ndio mana nasema njaa zenu kwa sababu ya umaskini mbona nchi zinazojielewa zimepiga kura ya Ndio au ya Hapana kuonyesha what ever the case wao wanajipambanua watambana na hali zao, Tanzania hamuna huo ubavu, ndio nasema ni unafiki ukweli kuufumbia macho