US to Reduce 40% of its aids to countries which did not vote against Russia in UN council , Tanzania inclusive

And those who supported aids will be reduced to 100%

Haya sasa ni wakati wa wale wanafiki kujifanya hawana upande waelekee Kremlin kupata misaada[emoji3]
 
Sawa, lakini kulikuwa na ulazima gani wa kuitaja Tanzania specifically?
Si na yenyewe ni mojawapo ya ambao hawakupiga kura,au ameisingizia Mkuu.Hii ni forum inasomwa na Watanzania wengi zaidi,pengine ameamua kutukumbusha tulikuwa upande upi [emoji3]
 
Hii account kumbe yako we jamaa..hivi huwa mnalipwa na serikali ya ukraine??...Ni Tanzania pekee ndiye aliyekuwa against mpaka atajwe yeye kwenye hii tweet??!..napata mashaka hii ni account yako
Wewe nae huwezi kuchangia bila kuleta hizo blah blah zako za analipwa na nani? Na wewe tukuulize unalipwa na Russia,maana kila.comment lazima uje na hiki ki sentence chako cha 'kulipwa'[emoji3]
 
Jeuri ipo ndio maana msimamo wetu ni neutral wala hatukuwapa support yetu, kama wameumia watoe hiyo misaada yao ya ARV mbuzi hawa
Maskini hana jeuri,hebu hangaikeni kwanza na umaskin wenu uliotopea huko.Huoni hata aibu kutaja kimbe na ARV unapewa
 
Maskini hana jeuri,hebu hangaikeni kwanza na umaskin wenu uliotopea huko.Huoni hata aibu kutaja kimbe na ARV unapewa
Jeuri gani unataka tena tumeamua kuwa neutral kama nchi hii ni jeuri tosha, kama US anaona tumekosea hiyo misaada yake akawape wananchi wake, maana hata US masikini wapo
 
Akishaanza marekani wanafuata EU na washiriki wake etc.na tulivo mabingwa wa kuomba omba na mikopo tutegemee bajeti kukosa support ...naziona tozo mpya bajeti Hii na nayaona maisha ya watanzania yatakuwa magumu zaidi ...
Tutazidi kumkumbuka! Lita ya mafuta ya petroli 2885 sasa hivi kwa baadhi ya maeneo nchini.
 
Hii account kumbe yako we jamaa..hivi huwa mnalipwa na serikali ya ukraine??...Ni Tanzania pekee ndiye aliyekuwa against mpaka atajwe yeye kwenye hii tweet??!..napata mashaka hii ni account yako
Nilikuwa natafuta comment kama hii, wote(11) waliotangulia hawajaangalia usahihi wa hiyo akaunti ya Twitter. Hiyo akaunti ni ya mbongo mwenzetu tu asiyekuwa na vyanzo halisi vya taarifa
 
Tutazidi kumkumbuka! Lita ya mafuta ya petroli 2885 sasa hivi kwa baadhi ya maeneo nchini.
Utamkumbuka wewe mkuu kama umeshikiliwa akili manake seems umechagua ujinga wa kutoelewa kwamba hili ni tatizo la Dunia has nothing to do with an individual.

😬😬😬😬 Kote huku waambie wamkumbuke 👇

Screenshot_20220408-205048.png

Screenshot_20220408-173850.png

Screenshot_20220405-145122.png

Screenshot_20220404-184617.png
 
Msimamo wa nchi yetu kwenye mgogoro wa Ukraine wao US ina wahusu nini? Wasitutishe na misaada waondoe yote ila jambo la nchi yetu tutatoa msimamo kama nchi bila shurti ya nchi yeyote
Unapewa msaada alafu unashupaza shingo kumtetea asiyekupa msaada wewe mmatumbi

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Unapewa msaada alafu unashupaza shingo kumtetea asiyekupa msaada wewe mmatumbi

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
Wanatupa misaada kwa sababu wanategemea tuwaunge mkono hata kwenye mambo ya kipuuzi, sasa tumeamua kuwa neutral watoe misaada yao yote halafu waone kama tutakufa njaa, misaada ni aina ya ujinga kwenye akili
 
Back
Top Bottom