US to Reduce 40% of its aids to countries which did not vote against Russia in UN council , Tanzania inclusive

US to Reduce 40% of its aids to countries which did not vote against Russia in UN council , Tanzania inclusive

Jamani inatosha kweli kupeleka sentensi hapa, watu 101 wanaitikia na kujibu, hakuna anayeuliza kama ni kweli????? Twita???
 
Sawa kwani tumewaomba ? Kama hawataki shauri zao, ila sio kutishana kwa maboksi ya kondomu
Ndiyo mumewaomba, hata juzi waziri kaziomba zile za NGO's wapewe serikali ili zisaidie kukamilisha miradi ya kimkakati. Kwa taarifa yako hivi vikodi vinavyokusanywa vinatosha kulipa mishahara tu, Tena mishahara yenyewe ya kinyonyaji.
 
Marekani wapuuzi Sana, si hawa wanaimbaga Demokrasia , hii ndio Demokrasia kuchaguliana umpigie Kura nani
Jamani inatosha kweli kupeleka sentensi hapa, watu 101 wanaitikia na kujibu, hakuna anayeuliza kama ni kweli????? Twita???
 
Waondoe sasa 100% wanamtishia nani kuondoa 40%? waondoe misaada yote halafu waone nani atakufa
Watakufa watoto wachanga na waathirika wa ukimwi, wengine hatutakufa ila Cha moto tutakiona.
 
Mambo ya mashoga ya kimarekani hayo.
FPdH4Q9X0AIGRHV.jpg
 
Ndiyo mumewaomba, hata juzi waziri kaziomba zile za NGO's wapewe serikali ili zisaidie kukamilisha miradi ya kimkakati. Kwa taarifa yako hivi vikodi vinavyokusanywa vinatosha kulipa mishahara tu, Tena mishahara yenyewe ya kinyonyaji.
Kodi ndio uti wa mgongo wa nchi , tutakusanya na tutasonga mbele, kutegemea misaada ni uvivu na matumizi mabaya ya akili, sasa hao US wasilete hiyo misaada halafu watajua kuwa Tanzania kuna watu timamu
 
Sawa, lakini kulikuwa na ulazima gani wa kuitaja Tanzania specifically?

Kwasababu nyie ni wataalam wa KUOMBA hivyo ilibidi mufahamishwe kuwa there is no free lunch!!! "UKITAKA KULA LAZIMA NA WEWE WAKULE"
Sasa ndio wakati muafaka wa kumuambia Samia athari za kutegemea kutembeza bakuri pengine ataelewa!!
 
mwenye twitter a/c ndiye aliyefungua uzi jf, atafanyaje apate attention bila kuitaja Tanzania? kimsingi ina fahamika TZ haifungamani na upande wowowte ndio sera yetu.

Wakina kiduku na wengine walipiga kura ya wazi kukataa udhalimu, sisi na wengine kama china hatukuchagua upande maana wote rafiki zetu... urusi akishinda tutamwambia hongera na ukraine pole ndio sera yetu hatubagui...

hao wabaguzi msaada wenye masharti wabaki nao kama kibaraka wao aliyefungua uzi...
Kutokuwa na upande ni unafiki tu wakati bakuli unatembeza.
 
Mashoga wa Marekani wanataka watushike mpaka Akili zetu,kwa nini wasingekata zote 100%?Hizo asilimia 40% za nini sasa?Pumbavu zao tuone kama tutakufa njaa.
Hilo neno shoga kama halikupi kinyaa kulitajataja basi una dalili zake zote ila ni unafiki tu kama kawaida.
 
US to Reduce 40% of its aids to countries which did not vote against Russia in UN council , Tanzania inclusive

And those who supported aids will be reduced to 100%

Ndio maana sipendi upuuzi wa eti kukaa kimya, Russia na umaskini wake ana msaada gani Kwa Tzn?
 
Back
Top Bottom