US to Reduce 40% of its aids to countries which did not vote against Russia in UN council , Tanzania inclusive

US to Reduce 40% of its aids to countries which did not vote against Russia in UN council , Tanzania inclusive

Hii account kumbe yako we jamaa..hivi huwa mnalipwa na serikali ya ukraine??...Ni Tanzania pekee ndiye aliyekuwa against mpaka atajwe yeye kwenye hii tweet??!..napata mashaka hii ni account yako
Huyu jamaa ni nani?
 
Hapa ndio utaona umuhimu wa kujitegemea kama taifa.
Mtegemea cha ndugu hufa masikini hivyo ili kusimama ni kukata utegemezi.

Hii ndio vizuri ila ni mbaya kwa wapenda vya bure.
 
Sawa,
Lakini kulikuwa na ulazima gani wa kuitaja Tanzania specifically?
mwenye twitter a/c ndiye aliyefungua uzi jf, atafanyaje apate attention bila kuitaja Tanzania? kimsingi ina fahamika TZ haifungamani na upande wowowte ndio sera yetu.

Wakina kiduku na wengine walipiga kura ya wazi kukataa udhalimu, sisi na wengine kama china hatukuchagua upande maana wote rafiki zetu... urusi akishinda tutamwambia hongera na ukraine pole ndio sera yetu hatubagui...

hao wabaguzi msaada wenye masharti wabaki nao kama kibaraka wao aliyefungua uzi...
 
Hivi ikitokea kafungiwa kabisa asikanyage Amerika na vile anavyopenda safari sijui itakuaje?
Anapenda safari kwani anaenda kutembea kule mbona watanzania hamna shukrani alivyokuwa jpm mlisema hatoki kutafuta fursa au unafikiri wawekezaji wanaweza kuja kwa rais kujifungia ndani lazima akakutane nao au ww unafikiri dangote amekuja kuwekeza Tanzania kwa kutupenda sanaaa jakaya alitoka akakutana naye huko akamshawishi akaja kuweka hela yake,ww umekaa tu na kitecno chako eti anapenda kutembea kubwa zima
 
Umekosea kusema "Watanzania hatuna shukrani" mwambie huyo Nyboma ndio hana shukrani.
 
Wewe unafkr Kwa nn huko walikuwa kimya ? Hakuna mchongo wa maana , Ukraine kuna mtu walikuwa wanamtegea tego , hakuna rangi utaacha kuona mpak wamnase Kwa Gharama iwayo yote ile
[emoji1][emoji1] wametegea tego sio?Basi majibu ya tego yameshaitikia na Ni Kama yalivyo hapo [emoji116][emoji116]
FOj6Qf1VgAE1wB3.jpg
 
Back
Top Bottom