britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
[emoji1][emoji1][emoji1]Tanzania inatetea uvamizi, US wako sahihi.
Wewe unafkr Kwa nn huko walikuwa kimya ? Hakuna mchongo wa maana , Ukraine kuna mtu walikuwa wanamtegea tego , hakuna rangi utaacha kuona mpak wamnase Kwa Gharama iwayo yote ileNasema baaaado.View attachment 2179756
Hatutaki misaada yao, hawawezi kutupangia cha kufanya kisa misaadaUS to Reduce 40% of its aids to countries which did not vote against Russia in UN council , Tanzania inclusive
And those who supported aids will be reduced to 100%
Kwa ambazo zilipiga kimya nazo zilipaswa kutokupewa chochote cha msaada kutoka US. Hao ni wadangaji tu, wanataka kula kwa pande zote mbili.US to Reduce 40% of its aids to countries which did not vote against Russia in UN council , Tanzania inclusive...
Hii account kumbe yako we jamaa..hivi huwa mnalipwa na serikali ya ukraine??...Ni Tanzania pekee ndiye aliyekuwa against mpaka atajwe yeye kwenye hii tweet??!..napata mashaka hii ni account yakoUS to Reduce 40% of its aids to countries which did not vote against Russia in UN council , Tanzania inclusive
And those who supported aids will be reduced to 100%....
US to Reduce 40% of its aids to countries which did not vote against Russia in UN council , Tanzania inclusive
And those who supported aids will be reduced to 100%
Ipi hiyo we pokea ujumbe hahaha mnauwawaHii account kumbe yako we jamaa..hivi huwa mnalipwa na serikali ya ukraine??...Ni Tanzania pekee ndiye aliyekuwa against mpaka atajwe yeye kwenye hii tweet??!..napata mashaka hii ni account yako
Inavyoonekana USA inateseka sana na uwepo wa Russia. Inaona mambo yake mengi hayara kamilika kama Russia inabaki imara.. Anataka kutufanya watu wate duniani ni wajinga. Atachochea kuni sana za kumchafua Russia lakini hataweza kuwaingiza watu welevu ktk ujinga wake huoUS to Reduce 40% of its aids to countries which did not vote against Russia in UN council , Tanzania inclusive
And those who supported aids will be reduced to 100%..